PPF Waanza kuita watu

PPF Waanza kuita watu

Status
Not open for further replies.
UMEFIKA WAKATI WANAOITWA INTERVIEW WAWE WANALIPIWA PESA YA MALAZI,CHAKULA NA USAFIRI,KUTIA TIJA,SIO KUITANA HUKU WATU WAMESHAPANGWA WA HIZO NAFASI.HOJA HII NAOMBA IFIKE BUNGENI.:msela:

Kweli.................
 
Daa mi hawajamaa cnaga bahati nao maana kila nkiomba hatakushortlist hamna....au kwakua nilifanyaga field kwao? duu kila la kheri ndugu.. minao tena....mmmmmh yatosha....nicjaze tu database yao tu..
 
Kweli.................

Kweli.....mkuu natabia zao za kuita buku tatu. huku wanataka watu watano au tatu.. au huwa wanafanyia research kwa cwatafuta hajira..mitabia ya akin a TRA, Nssf, na nyie mikampuni mingine....
 
Izi ndo zile za watu 10,000/- ?
 
wadau hiyo interview ni oral au written .sijawahi fanya interview zao.help please na kama dressing code ni casual itakuwa poa au official zaidi
 
Habari za muda wadau,kuna ndugu yangu ameitwa kwenye usahili PPF jumammosi nafasi Operations trainee,ila kuna issue ambayo anafatilia na inaanza wiki ijayo jumanne na itachukua muda wa mwezi mmoja,kimsingi ni mishe ya uhakika,tatizo ni siku ya kuanza semina ya issue hiyo ambayo inaweza ikawa alhamisi na ijumaa,Je atoroke aende kwenye interview then arudi kwasababu yuko mkoani............Ushauri tafadhari pia kwa mwenye kujua Interview za PPF zinakuwaje atoe msaada,..NAWASILISHA
 
asiende
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom