Recent content by flying surgeon

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, namtoa mwanangu kule Moshi- CCP

    au Jason Bourne
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Mzee ulienda kumsenga kibondo kigoma nini
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Taa ya kijani hatar Sanaa
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Amina atakubali kutoa penzi..?

    Kama unamaanisha kwa hisia just mwambie ukweli tu kuwa japokua mlikua mnachukuliana kama ndugu wewe siku za karibuni umekuwa na hisia za kuwa nae kimapenzi na unamuhitaji kama mke Sio mpenzi coz mmejuana kitambo mambo ya mpenzi hutaki tena ,Yale ya zaman kukusetia mibususu ilikua ujana tu coz...
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    Hapo kataaa Hadi mwisho....sema kumwangushia zigo SIo poa,,huo muda uliokuwa unafikiria kama nusu saa ungetafuta mwamba yoyote uwe umejifanya ulimuazima gari umpange afu ungechukua hyo chupri umuulize wife kwanini anaanika chup kwenye gar akisema SIo yake unajifanya unawaza na kujiongelesha kuwa...
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoefu naombeni mwongozo

    Ahhh mie naona afadhali uwachane ukweli tu kuwa hujakaa poa but unania njema na Binti Yao kwahyo wasubiri ujipange kilife kwanza then utakuja rasmi hizo mbelile mbelile naona hazina ishu
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wacha na Mimi nishee hii wakati Niko likizo Moja Niko fomu 3 nilikua na dada yangu alikua fomu six kwahyo Mimi nilikua likizo fupi ya Sept yeye Yuko likizo ndefu ya September Sasa alikuja na rafiki yake akawa anakaaa nae nyumban alikua anasubiri atumiwe nauli kwao ni Kilimanjaro.asa Kuna siku...
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wale tuliowahi "Kuchapiwa", ni kitu gani kilikuuma zaidi na ulichukua maamuzi gani kwa mwenzako?

    Kama ndo aliemuoa jipe moyo may be hakuwa wako Yani hukupAngiwa kuwa nae na jinsi ulivyokuwa na wivu nae it's means ulimpenda wewe Cha kujipa moyo ni kuwa ulimkula before huyo jamaa mambo mengine achana nayo mtaan mibususu mingi piga kazi komaa na tozoo
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nimependa 3ts
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Mzee kumi ni wachache mnoo afu mbususu kwani waliondoka nao? Wewe angalia life la Sasa ya zaman SIo ya muhimu afu kingine Mzee ulikua sloww sana na wewe yan mpaka unaoa uko imepita mibususu mitano tu duh ungekua una kama mia hivi Wala usingekuja kutuuliza
  11. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ulaji wa mafuta wa Toyota Prado

    Mie hyo engine nayo kwenye surf hillux mara nyingi ni 8_9km per liter so navimbaga mjini bila shida
  12. F

    JamiiForums Tanzania Msaada UN organization (IFAD)

    Baba hao ni wezi kaa mbali
  13. F

    JamiiForums Tanzania Wale tunaotafuta ajira na kutoa ajira tukutane hapa

    Kuna kazi ya pharmacy liwale huko Kuna jamaa wanaitwa madaktar wasio na mipaka cheki nao chap
  14. F

    JamiiForums Tanzania Wajuba msaada kwenye bajeti

    Hapo kwenye mademu nipeleke sehemu Pana extend bajeti ya mafuta laxima ifike 400k
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijutii kuoa Mdigo

    Dah usinikumbushe Kuna miaka nilikuwa nacho pale mjini tanga tulikua tukionana pale lodge karibia na gonga gonga tanga ahh bana lile uno dahh mungu ibariki jamii ya kidigo mnara wa uno Moja la kidigo ujengwe hata pale majani mapana
Back
Top Bottom