Recent content by florencentarajoel

  1. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asema kusitishwa kwa ajira kumewaliza watanzania na umasikini umetanda kila kona

    Baadhi ya viongozi wa dini ni wanafiki wa kutupwa Leo kama jamaa angeenda kusali ktk kanisa lake angemsifia kila kitu
  2. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Najiuliza tu kuhusu familia ya Lema kubeba chakula cha sikukuu kwenda gerezani

    Mungu anawaona Jf kwa kuchambua kama karanga
  3. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Safari itasonga Kwa msaada wa Mungu: Dr. Mwele Malecela

    Ugonjwa haupo mama(mwela malercela) alidanganya tu hajui lolote ingawa ni daktari bingwa wa watu lakini waziri wetu Ummy Mwalimu ametoa taarifa ya ukweli kabisa ugonjwa haupo kwasababu yeye ni mwanasheria anafahamu zaidi kuliko wataaramu wa afya
  4. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Picha ijayo ya ajira kwa shule binafsi

    Wakiwa vyuoni walisusia kupiga kura wacha waisome namna
  5. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mtoto wa dada yangu ataniitaje?

    Kakojoe ulale
  6. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Watanzania kunasehemu mungu alituamba walemavu wote
  7. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Haya mambo tulikuwa tunasikia tu kwa wezetu kumbe hata sisi Leo yametupata
  8. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania TRA/PCCB chunguzeni wizi mkubwa Max Malipo leo hii

    Hawa ni wezi kama walivyo wezi wengine MTU ukienda kulaza gari hapa Mjini unalipa elfu kumi au elfu mbili!!!! Wacha mnyanyaswe kipindi cha uchaguzi mlikuwa mnabandika mapicha yenu ya kijinga kwenye magari na majimbo yenu sijui eti jembe litasaidia wanyonge
  9. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kupanga mishahara upya; Mishahara ilingane kwa kada zote

    Huwezi ukalipa mshahara kwa sababu tu wote wa degree au diploma au Cheti degree ya miaka 03 mfano sociology , IPO degree ya miaka 04 Mfano Law ya SAUT, IPO degree ya miaka 05 MF medicine Diploma IPO ya miaka 02 mfno uhasibu, Ipo diploma ya miaka 03 mf n pharmacy nk Kuwalipa watu wote sawa...
  10. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuomba Mfalme wa Morocco amjengee Msikiti mkubwa Dar na Uwanja mkubwa Dodoma

    9, December 1961,wakati tunapata Uhuru siku ya jumamosi wezetu Morroco wanasherekea miaka minne ya kuwa huru 2, march 1956(independent Day) Pamoja na kuwa na Tofauti ndogo ya UMRI Leo tumempigia magoti mfalme wa Morocco Mohammed VI na kwa enyenyekevu mkubwa huku tukiongea kwa URUMA MNO...
  11. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Subiri unawai wapi watu wazikopeshe kwanza wakiludisha ww ndio upewe chako baada ya mwaka mmoja sawa!!!
  12. florencentarajoel

    JamiiForums Tanzania Hongera Jeshi la Polisi kwa Kauli Mbiu ya Mwendo wa 50/80.

    Kama UNAHaraka kapande BOBADIER
Back
Top Bottom