Ndugu wanabodi
Leo TRA walikuwa na kamatakamata ya magari ingawa sina uhakika kama ilikuwa 'operation' ya nchi nzima. Kwa bahati mbaya gari yangu leo miongoni mwa magari yaliyokamatwa leo kutokana na deni na mapato nililokuwa nadaiwa. Operation hii nimeipenda sana kwani hili ni agizo la mkulu la ukusanyaji madeni yote.
Lakini utaratibu wa leo naona kama umepangwa kimasilahi ya watu. Nasema hivi kwa sababu mfano mimi nimekamatwa leo na kuambiwa deni langu, gari ikaingizwa yard nikaambiwa niende kulipa deni hilo kwa njia ya Max-Malipo na nikaambiwa itanibidi kulipa faini ya tsh 30000 halafu gari itakuwa inalipiwa 10000 kila siku mpaka itakapotoka.
Mimi sina shida juu ya hili kwani ni utaratibu walojiwekea. Tatizo ni kwanini Max Malipo wazime network toka asubuh hadi jioni ya leo? Imagine Max Malipo leo haifanyi kazi toka asubuh hadi sasa.
Imagine leo TRA wamekamata magari mangapi nchi nzima ambayo yanatakiwa kulipia elfu 10 ya ulinzi? Mfano nilikoaacha gari nimeacha magari zaidi ya 150 na yote yameambiwa yakalipwe kwa Max Malipo. Hivi haya malipo kwa nini yasilipwe kwa njia ya bank mpaka Max Malipo?
Baada ya kuangaika sana kwa kukosa huduma ya Max Malipo niliamua kwenda TRA kuomba nilipe kwa njia ya bank nikaambiwa ni lazima nilipe kwa Max Malipo, nikilipa kwa bank itapotea!!!!Inapoteaje?
Kwa kweli imeniuma sana, ndo narudi home na pesa mkononi halafu kesho nikalipe hiyo 10000 ya kunilindia gari. Nacalculate idadi ya magari yaliyokamatwa leo nchi nzima ambayo yanatakiwa kulipia 10000 +30000. Kweli nchi hii watu wanajipigia pesa tu!
Huu ni wizi aidha kati ya TRA, Max Malipo na wenye yard, ninaomba ufatiliaji!
NOTE: TRA wakifunga ofisi saa kumi utaona mtandao unaruhusiwa. Hii ni hujuma!