Aibu imetanda, leo nmewasikia TBC habar et graduate wawahimize ambao hawakupata fursa kujtahd kusoma, hv unafata f4 leaver umshaur nn wakat ww umemaliza chuo upo home tu mwaka wa 2 sasa! Ujinga kabsa na matamko ya viongoz, wahimtim wanakusanyikana mtaan nahawana mbele na nyuma bado mtu umshaur kupoteza muda, bora kumshaur atafte vibarua kabsa mapema kusoma kupo tu!
Ilo nalo nenoHivi umemaliza degree yako upo upo tu unaanzaje kumshauri form four anayezungusha bodaboda aende shule wakati wewe uliyeenda shule huna mbele wala nyuma.