Tuache unafik hpa sio suala la uroho wa madaraka wala kujua maisha kabla ya muungano kwan kuna mtu hajui tanzania imetokana na tanganyika na zanzibar,zanzbar inadai mamlaka yake kamil sasa itakua uendawazimu kuendelea kukataa jina lenu ambalo mliliunganisha na zanzbr kuzaliwa hyo tanzania ya...
Tanganyka itapatkana tu zanzbr ynye mamlaka kamil itakapopatkana maana mtikila kapga kelel wee lakn hawa jamaa wa chama chao wanaogpa sjui wanaogopa kupoteza mvuto hku tanganyka sabbu mapinduz yalitokea zanzibar kwahyo itawabd kubadil jna ili kuwa na mashiko kwa watanganyka kwan mapnduz ni ya...
Njia rahs ya kuipata tanganyka ytu ni kuwaunga mkono wazanzbr waipate zanzbar yao autmatical mambo yatajiweka sawa, muhmu tuhakkishe waznji wanapata kila wanachotaka mwsho wa siku ving'ang'aniz wataelewa kuwa muungano haupo toka 2010
Wana jf fumbeni macho tuiombee tanzania yetu juu ya hila za kagame na m7 ...Baba tunaikabiz nchi yetu pendwa mikononi mwako na kuvunjavunja hila zote zinazoletwa na maadui wa nchi hii ya maziwa na asali uliyotupa sisi wanao wenye upendo wa hali ya juu .....
wanasema kuwa na baba masikini hauna cha kulaumiwa ila kuwa na baba mkwe masikini hapo umeyataka mwenyewe kwahyo mtu kuchaguliwa hvyo vyuo mnavyoita vya kata hana xha kulaumiwa ila akishindwa kutumia alichokipata huko kutengeneza mkate wa kila siku hapo unaweza kumdhihaki
daah mwaga hayo madin mkuu maana binadam mara nying ni wanafik wanajidai kupinga kwenye kadamnas wanayafanya gizani bora we unasema hadharan mtu awe anaelewa kufanya au kutofanya ni hiari ya mtu
mmmmh sijawahi kusikia bara tunalalamika kuhusu muungano ila wazanzibar ndo mipasho kila siku so tunawapa njia ya kutokea mnaanza kusema tunalalamika dah kwel taarabu mziki wenu upo kwenye damu
mi sioni tatizo linatoka wapi kwan kama mfatiliaji wa mambo utagundua kuwa hoja ya chadema si kusema ushoga ila ni kuwaonyesha watanzania mrengo wa vyama vyao na watu gan wanavipa msaada na inatokana cuf kdai kunachama kinapata msaada toka mataifa ya magharib kwa dhumuni la kuja kufaidka na ges...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.