Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
Ungewaunga mkono na uccm wako CHADEMA wangepaswa kujitafakarikidogo kuna mantiki tunataka chama ambacho kitajijenga kwa kutoa hoja ya malengo yake kiasi kwamba hata mwanachama wa chama kingine aone siku ya kupiga kura kuwa hawa watatupeleka mbele kwa hoja zao na awapigie kura.
hoja ya leo bungeni ni uchambuzi wenye lengo la kupaka matope na hakuna chama kinachoweza kuvumilia kupakwa matope mbele ya umma kinyamaze. kwa mda mrefu vyama vyetu vinapenda kujinadi kwa kusema fulani anashirikiana na fulani kitu ambacho si hoja ya chama kingine kupigia kampeni.
tuko na matatizo mengi hivyo tunataka chama kitakachojikita katika kutuambia kitatatuaje matatizo yanayotukabili. kejeli kama hizi hazikijengi chama bali zinakibomoa maana ukiitamka wasiofikiri watashangilia hapohapo, lakini wanaofikiri ambao ndio wengi watakaa kimya ila watakudharau mwisho wa siku utakuja kujiuliza mbona nilikuwa nashangiliwa lakini nimeanguka.
jengeni chama kwa kuweka mikakati ya kubuni sera za kukomboa watanzania na hizo ndizo mzinadi hadharani achaneni na sera za kujiimarisha kwa kushambulia vyama vingine. weka mikakati mtangaze sera zenu wakati wote mfano sera za kupambana na mafisadi sio lazima mtaje watu lakini muwaahidi wananchi mkipewa nchi mtafanya nini kwa mafisadi na nini matokeo yake kwa wananchi, waelezeni watu sera yenye mvuto ya kufuta kodi kwenye vifaa vya ujenzi na mnasema wazi tunaitaka serikali iliyoko madarakani ifute kodi hiyo na sisi tukiingia tutafuta ili kama chama tawala kitaamua kuchukua hiyo sera sio ninyi kupinga bali itakuwa vema na wananchi watajua chama fulani ndio kimetukomboa.
yapo mengi ya kujikita nayo ambayo yatawashawishi watanzania walio wengi kuwaunga mkono maana mtakuwa mmewagusa. jiulize hii hoja ya CUF na ushoga itawaongezea wafuasi kiasi gani. busara inahitajika kujiepusha na mtizamo wa vurugu mbele ya wananchi. wekeni dira ya jinsi gani mnataka kushawishi watanzania wawakubali alafu ndio mtafute hoja kupitia hiyo dira yenu kwa kuangalia dira itakayowafanya mshangiliwe majukwaani na siku ya kupiga kura muonekane mashujaa. tafadhali tafuteni mbinu ya kukua kwa haraka maana maisha yenyewe haya mafupi tunataka mabadiliko wakati wetu ili maisha yetu yaboreke tukiwa bado na nguvu zetu
Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
....maiferedi ..kama lina mbigiri watakuletearubrikanti....Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
Mimi niko tofauti sana na mtu kama wewe kwa sababu wewe unafikiria kwa ushabiki wa Chadema wakati mimi nafikiria mbali zaidi kiuchambuzi. So while your reasoning is impaired with ushabiki mimi nina clear reasoning nikiangalia mstakabali wa nchi. Huwezi kuwa na hoja ndogo ndogo na za kipuuzi kama za ushoga na ukazileta bungeni ukiamini sisi tutakuunga mkono kwa sababu tunakupenda sana. NO! Ila watakuwepo wengi kama wewe ambao watashabikia tu na kushangilia wakati wengine tuna macho na uwezo wa kusema mfalme kakaa uchi!Msimshangae, hao ndo watanzania wenyewe, unafikiri kwa ujinga huu wa ccm bado wangeendelea kutawala kama wasingekuwa na mtaji wa majuha kama muanzisha mada. safari bado ni ndefu na yenye misukosuko kwa wanaofikiri kwa makengeza. mungu tuokoe
Tatizo watanzania ni wepesi wa kubwabwaja tu, ukimwambia soma hata ukurasa mmoja hasomi, kwa mtu aliyemakini akisoma alichokiandika wenje hakuna tusi pale, Wenje amelezea milengo ya vyama mbalimbali duniani na vyama marafiki
Nimegundua watu wengi wanafeli mitihani kwa sababu ya kukurupuka kujibu bila kutafakali kwa kina
Kwa nini unaamini kama huo ndio uwezo wa CDM basi hii nchi itaongozwa na CCM milele, wakati hapo hapo unakitaja CUF kuwa chama kikubwa? Kwa nini basi usiamini kwamba kama nchi haitachukuliwa kutoka CCM na chama dhaifu CDM, then itachukuliwa na chama kikubwa CUF? Au hata NCCR, TLP nk?Kwani kazi ya Chadema ni kuelezea mirengo mbali mbali na vyama vingine? Hawakuulizwa hilo. Na kama wangetaka porojo wangeelezea itikadi yao
Aliyeongea mambo ya kushika dola na gesi si cuf bali ni Napemi sioni tatizo linatoka wapi kwan kama mfatiliaji wa mambo utagundua kuwa hoja ya chadema si kusema ushoga ila ni kuwaonyesha watanzania mrengo wa vyama vyao na watu gan wanavipa msaada na inatokana cuf kdai kunachama kinapata msaada toka mataifa ya magharib kwa dhumuni la kuja kufaidka na ges
ya mtwara cha hcho kikishika dola ila cuf wnyewe
wamejishtukia na kupaniki
Mkuu umeisoma ile hotuba au umekurupuka tu hapa kuja kutoa mapovu?Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
Mkuu wewe bado ni mchanga sana kisiasa.Hiyo mirengo aliyoitaja wenje kwenye hotuba yake inatusaidia nini sisi kama Watanzania? kama siyo kuendleza upumbavu wa kujadili watu badala ya issues.............
Sawa Mkuu kijana wa Lumumba umeeleweka, kwani kuna tatizo gani ukweli ukisemwa si bora Watanzania wajue mapema wanashugulika na vyama gani!!!!!Mimi ni mpenda mageuzi. Kuna muda niliamini kwa nguvu kabisa kuwa uongozi wa Chadema unaweza kufanya kazi nzuri ya kukiongoza chama hadi kuchukua nchi na kuleta mabadiliko tunayoyataka. Lakini kadri siku zinavokwenda ndiyo nagundua udhaifu wa uongozi wa Chadema.
Leo bungeni imesomwa hotuba ya ovyo kabisa toka Chadema na kuleta mtafaruku mkubwa bungeni. Humo bungeni walialikwa wanafunzi wa vyuo na kushuhudia Wenje akisoma hotuba ya kijinga kabisa ambayo haina tija kwa Taifa letu wala kwao.Unaongelea maneno ya kuudhi kama ushoga kukilinganisha kikubwa kama CUF unategemea nini? Wana CUF na wengineo watakupenda kweli? What was the strategy kuleta upuuzi ule? Kama Dr. Slaa ndio umakini wake umeishia pale basi ujue nchi hii itaongozwa na CCM milele, mark my words. Kwani najua Dr. Slaa kama Katibu Mkuu aliipitia hotuba ile na kuipa baraka zake. The same goes with Mbowe. Haiwezi kusomwa hotuba bungeni bila ya wao kuipitia. Na kama hawakuipitia then hawafai. Na kama wameipitia na kuipa baraka zao basi pia hawafai.Mkiwa na viongozi kama Wenje ambao mnataka siku moja waongoze nchi, then you have another think coming.
Wake up,Slaa and Mbowe: Chadema kinaondoka! Tafuteni watu makini kwenye nafasi za uongozi ili muendelee. Chadema hakipendwi kwa sababu ni chama makini, bali kwa sababu watu wameichoka sana CCM, lakini CCM ni makini zaidi na wana mikakati mikubwa kuliko Chadema kwa mbali sana. We angalia hotuba za CCM bungeni uje ulinganishe na za Wenje na mambo ya ushoga wapi na wapi. As Prof. Muhongo said the other time hotuba za upinzani zinatakiwa zije na alternative solutions kwa matatizo ya taifa letu lakini si kuja na porojo tu zisizo na hoja yoyote. Soon the people will see thru Chadema and call your bluff. We need a strong and competent opposition!
Mkuu umeisoma ile hotuba au umekurupuka tu hapa kuja kutoa mapovu?
Hakuna mahali popote pale ambapo Wenje amekosea.
Wenje amesema Facts tena kwa kutoa na ushahidi.
Ilikuwa ni busara kwa CUF kuja kuipinga hotuba ya Wenje kwa hoja tena zenye uzito na sio kwa jazba, Matusi, Fujo nk.
CHADEMA ndio chama makini sana kwa sasa hapa Tanzania, viongozi na wanachama wao ndio watu makini zaidi kwenye siasa kwa sasa.
Please go and read first!!!
Je hoja ya wenje inafaida gani kwa matatizo ya watz inasaidia nini kuondoa kelo za watz.. Lakini pia tusitete ujinga wa wenji hivi nani anaushaidi aweke hapa ni lini kiongozi yoyote wa cuf kawahi tamka au kusimama mbele ya watu kusema kuwa cuf inatetea ushoga usagaji..
Mbona hamsemi kuwa chadema ndio inawabunge mashoga ,wasaganyi mnalikwepa hili mnaanza wapakazia cuf sasa ... Angalie chadema linaelekea kuwageuka hili mana ninyi ndo wasagaji mashoga wabunge wenu