Recent content by Flexible CL

  1. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Je, upo tayari kutoka Mwanza kwenda Tabora manispaa?

    Hivi uhamisho wa kubadilishana au uhamisho kwa ujumla haujazuiliwa? Naomba kuuliza maana nimechanganyikiwa hapa,kila MTU anasema yake
  2. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania ''Nikome, mimi nina mtu wangu", nitalikwepaje hili?

    Ukiwa na naye jifanye unadhiki na mwambie ni yeye pekee atayekupa amani duniani. Ikiwezekana hata chozi LA kinafki limwage. Wanahuruma hawa atakuelewa tyuu,maana hakuna mkate mgumu mbele ya maji.Usikate tamaa kijana,Wenzako tulifanikiwa kwa mbinu hzi
  3. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Ukitaka mke au mume wa ndoa, tafuta Msafwa

    Majina yao nimeyapenda Mkuu
  4. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge, Zitto acharuka

    Well said ZZK
  5. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo

    swali lako gumu mkuu na hauwez kupata jibu kwasabab hakuna hata mmoja aliekufa then akarudi dunian!
  6. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

    ndoto!!!! kumbe tungekuwa kila tunacho ota ni mustakabar wa maisha yetu tungekuwa mbali mno
  7. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Faida za ku-date watu wazima(26-40) juu ya mabinti wadogo(18-25)!

    Hapo umenena!! wengne wadogo wa umri ila kiakili wamekomaa kweli
  8. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Sijielewi Kwa Hili...Mwenzenu Kila Binti Ninaemuibukia Naambiwa Mi Ni Wa Pili Kuwa Nae!!!!

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha BORA uambiwe wa pili kuliko kuambiwa ni KWANZA haraf ukienda kula vitu UNAKUTA 1200 yako inaingia yoteeeee tena bila kukwama kwama huwa inauma sana!!
  9. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Wanaume naomba ushauri wenu make mume wangu simuelewi

    Nahisi ana ka bibi mdogo mtaani(MCHEPUKO) but jaribu kukaa nae hasa akiwa na furaha umuulize kinachomsibu mpaka anakosa raha na kununa baadhi ya cku
  10. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Ndoa zetu za chuo kikuu na ajira mpya za waalimu

    Mimi wamenipanga na ndoa yangu SINGIDA(V) naenda kumuoa tu
  11. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Kila MWALIMU ( Ajirampya) Cheti,Stashahada na Shahada 2014 ATATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO:-

    WAONGO hata kama ukienda tarehe 15 mwez wa 4 watakupokea tu kwan mim MGENI wa TANZANIA!! Waache kutisha WALIMU bwana!
  12. Flexible CL

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    BONGO unakamatwa muda wowote ule
Back
Top Bottom