Habari za majukumu? Naomba niwe specific, ni kwamba kama kuna mwalimu anaetaka au kupenda kufundisha mkoani Tabora (Milambo), na hivi sasa yupo Mwanza.
Nadhani hii itakuwa ni fursa kwake na kwa anaetaka kubadilishana vituo vya kazi. Ikiwa upo tayari, tafadhari nitumie PM ili mawasiliano zaidi yafanyike. Ahsante kwa busara zako kusoma hii post bila kutoa lugha chafu wala matusi. Karibu.