Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

ndoto!!!! kumbe tungekuwa kila tunacho ota ni mustakabar wa maisha yetu tungekuwa mbali mno
 
kakobe ameanza kujitambua

Mkuu, uongo wa thread hii haupaswi kuwa msingi wa hitimisho lako hili. You can be better than that!!!!! Soma post zilizotangulia, ambazo zimemfanya mleta mada mwenyewe kukimbia baada ya uongo wake "transparent" kuanikwa peupe.
 
ndoto!!!! kumbe tungekuwa kila tunacho ota ni mustakabar wa maisha yetu tungekuwa mbali mno

Mkuu, usiufanyie kazi uongo wa mleta mada hii, ambaye ameihamisha siku ya wajinga kutoka Aprili, na kuileta mwezi huu. Soma post zilizotangulia!!!
 
Mkuu nafikiri aliyewashwa ni wewe kwa kukimbilia kujibu Post yangu hapo juu na ndipo nilipojibu ya kwako!!

Hivi wewe umevurugwa na nini? au ndio MUUNGANO FEVER? Yaani unaendelea kuonyesha ataahira wako hadharani na bado unazidi kuona upo sawa tu! nimejaribu kukukumbusha kwamba urudishe akili yako kwenye mada kuu ili utoe mchango wako unaotokana na mada hiyo,sasa hebu angalia ni post ipi uliyochangia kuhusu NDOTO MPYA YA KAKOBE? Angalia thread nzima ni nani aliyeanza kupost,ni mimi au wewe? Hebu angalia tena ni nani aliyeanza ku-quote post ya mwenzake? Hivi uambiwe kwa njia gani uelewe? Au upo kwenye siku zako? Sasa mimi sitakujibu tena,ila wewe endelea kupost hadi utakapofika kileleni upumzike kwa amani.
 
Kamwe UONGO hauwezi kufanikiwa!.Mleta mada alidhani atawadanganya watu kwa uongo!IMESHINDIKANA!
 
PAMOJA NA NDOTO NDIO AMUINGIZE MREMA~CCM "UKAWA" WHATSHITS! hapo huo unajimu hautafanya kazi
 
Kakobe yuko sahihi,UKAWA wataanguka puu!
 
Kakobe yuko sahihi,UKAWA wataanguka puu!





ဆတအလညျ့ါိူု
ယယာျါုါထာူူအတိါုျအကငအမန္ည
ဟ့္္်္အ္ျားမအ၍၄၌ဣဈၯ၎ဦဦ၌ဣ႒ဈၫၯ၎ဣ၎၎ ၎၆ဣ ၄႑ဣ
ဈဈ ၏၎၎ဣ
ဈဈ
ဈၯ၎၆၅၅၌ဍဧ၍ၫ၎ဣ၅
Mwisho wa kunukuu wale waliozoea kuishi kwa uongo.
 
Back
Top Bottom