Recent content by FLEX

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Central Bank takes over FBME Bank Operations

    BOT too bad!
  2. F

    JamiiForums Tanzania NMB waongeza kiwango cha mikopo kwa watumishi wa umma

    bro,wameongeza na wananunua deni ulilo kopa kwenye taasisi zingine za fedha,tembelea tawi lolote ukapate maelezo zaidi.
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana msichana ukasafiri kumfata mwanaume usiemjua hujawahi kumuona live? Online dating..

    kama vipi mwambie akutembelee we na umpe hela ya nauli kama alivyo kupa yeye!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nimempata humuhumu jf..Amenikoleza

    nitaje,nitambulishe dia hakuna wasi!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana mzuri km erotica nioe!

    mh? Haya bana
  6. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana mzuri km erotica nioe!

    nikimpata milele nitafurahi,nitaimba nakupenda mpakka mwisho wa uhai!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana mzuri km erotica nioe!

    mi mwenyewe wa ukweli,kitu genuine kutoka kwa sir God, vp upo tayari?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana mzuri km erotica nioe!

    Mi ni kijana rijali,natafuta msichana ili tukielewana awe mke wangu wa ndoa, awe mkristo,mzuri,co wa kichina, muelewa na mvumilivu katika maisha! Ni haya tu wanajamii, atakayependezwa naomba ani PM, ucku mwema!
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania aaaargh love why me !

    Huna hela,huna nguvu hata sound huna! Pole!
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabiri nyine ni zaidi ya uhalisia

    mzee man u watabirike wasitabirike, washinde mechi zote na man city wanashinda mechi zote,mwisho bingwa man city!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa tsh mill 9

    poa, bro ntajitaidi niweke picha!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa tsh mill 9

    Km ngapi sijaelewa,kama bei nishaitaja na maelewano yapo baada ya kuiona,ni gari ya kupanda na kuondoka nayo tu!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa tsh mill 9

    Dark blue,milango mitano, picha nimeshindwa kuweka natumia wana jamii, gari ipo uhakika!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa tsh mill 9

    Bro nimechemka kuweka picha ila iko fresh inatembea km ukitaka kuiona we nipigie tu utaiona!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa tsh mill 9

    Gari aina ya Rv 4 T311 AFL inauzwa kwa bei nafuu million 9 maelewano yapo! No za simu 0716 21 61 29.
Back
Top Bottom