Tabiri nyine ni zaidi ya uhalisia

Tabiri nyine ni zaidi ya uhalisia

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
6,933
Reaction score
4,706
Kuna tread moja ilikuwa hapa jamvini siku chache zilizopita ikiwa na uzi wa utabiri wa mwinjilisti fulani kutabiri kuwa Man City ndie bingwa wa premier league mwaka huu. Wakati akitabiri hayo man United ilikuwa mbele ya City kwa point 8, na mechi kama sikosei zilikuwa zimebaki sita. Kwa yaliotokea jana nashawishika kumwamini huyu mwinjilisti. Nafuatilia kwa makini katika hizi mechi mbili zilizobbaki na utabiri wake ukilenga shabaha namtangaza rasmi kuwa mwonaji. Wenye kutilia mashaka utabiri na wafungwa wa science mnasema je? Nawakilisha.
.
 
Kakobe alishasema mpira wa soccer ni ushetani. mfano, kumpiga mtu chenga au kumdanganya golikipa kuwa utapiga mpira upande huu kumbe unapiga upande mwingine ni kusema uongo.Huyo mwinjilisti anatabiri mambo ya shetani achana naye!
 
Kwani mkuu manabii wa Mungu walivyotabiri mfalme wa Babilony kuwapeleka utumwani wana wa Israel kwa miaka sabini na ikatokea kama walivyotabiri. Wewe hapo unahukumu vipi kwa kuwa utawala wa babilon waliotabiri juu yake ulikuwa chini ya Shetani wakati huo.?

Hoja yangu ni kuamini mwinjilisti kwa kutabiri mpira. Kuamini amini tabiri kama hizi hatimaye mtaanza kumuanini hata yule pweza "paul" wa ujerumani kuwa naye ni mtumishi wa Mungu.
 
Ngoma bado mbichi mwanangu. Kingine pamoja na babu kurusha ngumu, hawa jamaa -MAN U- hawatabiriki.
 
Hivi kila mwonaji ni mtumishi wa Mungu eeh? Nafikiri hujanisoma vizuri.
.
 
Ngoma bado mbichi mwanangu. Kingine pamoja na babu kurusha ngumu, hawa jamaa -MAN U- hawatabiriki.

.
Hawatabiriki vipi? Hata kama wakishinda mechi zao zote mbili, City nao wanashinda zote vile vile hivyo privilege bado ipo kwa City.
.
 
Ngoma bado mbichi mwanangu. Kingine pamoja na babu kurusha ngumu, hawa jamaa -MAN U- hawatabiriki.

mzee man u watabirike wasitabirike, washinde mechi zote na man city wanashinda mechi zote,mwisho bingwa man city!
 
Hii ya kakobe nilikua sijaisikia. Nimeipenda! teh teh teh. Kumbe mess ana dhambi kibao teh teh teh
 
Hoja yangu ni kuamini mwinjilisti kwa kutabiri mpira. Kuamini amini tabiri kama hizi hatimaye mtaanza kumuanini hata yule pweza "paul" wa ujerumani kuwa naye ni mtumishi wa Mungu.

Ni hayati Paolo Pweza
 
Kakobe alishasema mpira wa soccer ni ushetani. mfano, kumpiga mtu chenga au kumdanganya golikipa kuwa utapiga mpira upande huu kumbe unapiga upande mwingine ni kusema uongo.Huyo mwinjilisti anatabiri mambo ya shetani achana naye!
Teh teh teh.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom