Natafuta msichana mzuri km erotica nioe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta msichana mzuri km erotica nioe!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by FLEX, May 5, 2012.

 1. F

  FLEX Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ni kijana rijali,natafuta msichana ili tukielewana awe mke wangu wa ndoa, awe mkristo,mzuri,co wa kichina, muelewa na mvumilivu katika maisha! Ni haya tu wanajamii, atakayependezwa naomba ani PM, ucku mwema!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Umlipe erotica kwa promotion hii
   
 3. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kama kweli unamtafuta kama mimi basi namjibia.

  Hayuko tayari kuolewa, labda awe sio kama Erotica.

  Ila sifa zote hizo ninazo na zaidi ya hapo teh teh teh.
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Hahahah........maana yake ni kwamba, anakutaka wewe!!!
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ukimuona mwenzio vinyozi wanamnasihi anyolewe!
  Zako kuta unaziandalia maji!
  Hata hivyo hujambo?
  Sijakutia kwa mboni leo sijui ya ngapi !
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  wewe mwenyewe mzuri?

  Wewe mwenyewe sio wa kichina?
   
 7. F

  FLEX Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi mwenyewe wa ukweli,kitu genuine kutoka kwa sir God, vp upo tayari?
   
 8. F

  FLEX Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikimpata milele nitafurahi,nitaimba nakupenda mpakka mwisho wa uhai!
   
 9. F

  FLEX Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh? Haya bana
   
 10. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....umempendea nini erotica...!?
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Dogo mwanaume hajisifii. Angalia JF kuna mabasha kibao. Shauri zako.
   
 12. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  wewe style zake utaziweza? Hujasikia mwenzio kimepata accident na mwezi mzima kinatundikiwa drip, wewe si ndo utageuka tasa kabisa
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160

  Judgement kwa kauli hii unamaanisha nawewe unajiandaa kupeleka proposal kwa Kipipi...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hukumu, siku hizi ukiona mwenzio ananyolewa unamwagia zako nusu lita ya olive oil afu unavaa sungoggles! Mjini kubanana, eboo!
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Nilimaanisha aweza na yeye Kipipi akapata propasal kutoka pande zozote za Jf, si lazima niwe mie!
  Japo namie i'm loockin' where to range !
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. d

  dundula JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 541
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kumbe boss una hasara mwananamke wa kuoa huwa hatuangalii uzur wa sura tu! we erotica unamjua tabia zake mpaka umtake haya sasa tabia zake ndo hizo anasema yeye sio mtu wa kuolewa ni wale wa kuonja tu na kukimbia, acha kutafuta wanawake kwenye mitandao utakuja ondoka na changudoa
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  What a comment, Asprin?
  Kijana asipoangalia anaweza akajikuta analiwa kisamvu cha kopo... Ohoo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 942
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Kipipi. Mtoa mada kazunguka kijanja lakini nia yake hasa anamtaka Erotica.
  Erotica wasemaje hapo? Upo tayari?
  k
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Hahah... Kiongozi sobhuza nadhani dogo atakuwa katuelewa na hatarudia tena lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kipipi unataka kuniuza hivi hivi? Kasema kama Erotica sio Erotica.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...