Hta mm nashangaa ukiangalia viewers ni 6 billion alf like million 35 mbn km haiakisi uhalisia wenyew hpa mm nadhani kna usanii wameucheza hawa jmaa hta km Uki view mara 1000 sio sababu km viewers ni 6b ina maana nusu na robo ya Dunia wameitazama hii nyimbo kitu ambacho hakiingii akilini kuna...
Nshawahi kuifanya hii kitu tatzo hii apps unaitumia for 7day's free then utailipia na shida nyingine huwa inasababsha virus kwa wngi kwny cm na kupelekea cm kuwa nzto had ureboot cm na hili pia mlijue kwa wataohtaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.