Recent content by Fleax_coinz

  1. Fleax_coinz

    SoC04 Kodi Zenye Viburi Zisivyopikika Chungu Kimoja na Maendeleo Tunayotarajia

    Mizigo ya Kodi katika Nchi Zinazoendelea Nchi nyingi zinazoendelea huweka kodi za juu za kampuni na viwango vya VAT, zikiwa na lengo la kupata fedha kwa ajili ya huduma za umma na miundombinu. Ingawa nia hizi ni nzuri, ukweli ni kwamba ushuru wa juu unaweza kuzuia uwekezaji wa ndani na wa...
  2. Fleax_coinz

    Yuan Wallet inaweza kuja kuwa tishio kubwa kwa dunia ya sasa

    It's 'Kuhodhi' not 'Kuodhi'... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Fleax_coinz

    Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Kwa kukusaidia...kama mtaji unamaanisha fedha...basi ndio unaweza fanya biashara bila mtaji kama tu una watu. Kwa mfano: Assume una marafiki zako wawili tu (mtaji) ambao wako mkoa mwingine na kuna bidhaa ambayo inapatikana katika mkoa wako kwa bei rahisi. Unaweza kuwatangazia halafu ukawaambia...
  4. Fleax_coinz

    Biashara gani naweza kufanya nikaingiza pesa nyingi kwa siku bila mtaji?

    Hakuna hiyo biashara duniani (Ninaomba nirekebishwe kama siko sawa) ila ninachofaham mitaji imegawanyika...kuna Financial capital, Human capital au social capital...kwa hiyo hata umaarufu wako ukikupa kazi au watu wa karibu wakikupa kazi huo ndio mtaji wako..na ndio maana watu na umaarufu...
  5. Fleax_coinz

    Ukuzaji wa biashara

    Salaam! Kama ilivyo kwa kiumbe chochote kiwe hai au kisicho hai inafikia kipindi kinahitaji new energy au mbinu mbadala kuweza kutoka pale kilipo na kusogea sehemu nyingine. Vivo hivyo kwa biashara. Hivyo basi, Mfanyabiashara hata wa mtaji wa shilingi laki 1 unapaswa uwe na mpango wa muda...
  6. Fleax_coinz

    Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

    1. Rich dad, poor dad 2. The richest man in babylon 3. Atomic Habits 4. Rich Dad's Guide to Investing 5. The Alchemist This year nimeanza na How to win friends and influence people.
  7. Fleax_coinz

    Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

    Shanga zina faida zaidi kwa mwanaume pale mwanamke azivaapo.. 1. As long as shanga ni sized (sio oversize)..the lining inakuonesha mwanaume ni sehemu gani ya kiuno upitisha vidole, lips, ulimi au meno yako...hata kukiwa na line 6 ya shanga...kila lining ina namna ya kufanywa...kuanzia...
  8. Fleax_coinz

    Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Suala la kukaa mda mrefu bila kufika kileleni inategemea na mwanamke anatumia dakika ngapi kufika kileleni pia..mwanamke mwingine dakika tano tu ashakojoa..ashasquirt...sa kama mwanamke amekojoa ndani ya dakika tano we uende 40 za kazi gani si unamchosha...!?ili suala lipo pande zote...
  9. Fleax_coinz

    Je punyeto kwa mwanamke usababisha hisia za kusagana?

    Kupiga punyeto kuna madhara kwa pande zote mbili sababu: Kwa Mwanaume Uke umeumbwa kwa ngozi laini sana, kwa hiyo kuuzoesha uume katika ngozi ngumu yaani mkono matokeo yake huwa ni 1. Kuua misuli ya uume 2. Pia itakufanya kukojoa haraka pindi unapokutana na ngozi laini (ya uke) bila kusahau 3...
  10. Fleax_coinz

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Shanga zinaongeza mshawasha wa kufanya ngono...mwanaume anapochezea shanga hena tofaut na kuslap makalio..mwanamke husikia raha
Back
Top Bottom