Recent content by Flava90s


 1. Flava90s

  Unamkumbuka huyu jamaa? Yuko wapi siku hizi?

  Jamaa yupo na alitoa Nyimbo yake miaka kama mitatu iliyopita akiwashikirisha AY na FA inaitwa Nimwamini nani? Anaonekana sana maeneo ya K.Koo kwa sana. Binafsi ni moja ya wasanii wa Hip Hop ninaowakubali kwenye Ushairi na kunata na beat.. Kuna track walifanya na Balozi Dola, Inspector Haroun...
 2. Flava90s

  Whatsapp link, audio music production (fl studio & cubase)

  Hivi hili group bado lipo mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Flava90s

  KWANZA UNIT - Album Kwanzanians

  Usijali mkuu tena hiyo ni remastered ngoja nikutafutie ile OG yenyew version ya kwanza ingawa haina quality nzuri.
 4. Flava90s

  KWANZA UNIT - Album Kwanzanians

  Hiyo track ilikua ya Sos B sidhani kama KU Crew walikua na nyimbo yenye jina hilo labda mimi sijawahi isikia wengine wataleta majibu nadhani.. Link:
 5. Flava90s

  KWANZA UNIT - Album Kwanzanians

  KWANZA UNIT - STOP YIPP YAPPING (KWANZANIAN) BAGGZY MALLONE & D ROB AKA ZOMBA
 6. Flava90s

  Tupeane maujanja hapa

  Mkuu mleta Mada hapo nisawa na chupa ya maji ya lita 1 ubadilishe label uandike lita 2 then ukajaze maji ukizani yataingia lita 2 kama label inavyosomeka.. Miaka elfu mkuu ni HAIWEZEKANI.
 7. Flava90s

  Nataka kufungua channel ya programming kwa lugha ya kiswahili, nitapata watu?

  Mkuu wew fungua upesi tu na uweke link hapa twende huko tukajifunze nasisi tusiojua.
 8. Flava90s

  Kwanini watu wengi hushindwa kupanga malengo??

  Mkuu katika hoja yeyote ile penda kujitumia wewe mwenyew binafsi mf. ''kwanini mimi nashindwa kujipangia malengo'' alafu hapo ndio utasaidiwa mawazo mazuri na hadhira kwa ujumla.. Nasema hivyo kwa sababu una uhakika gani watu wengine hawawezi kujipangia malengo nk. Mwisho kabisa hata kama...
 9. Flava90s

  Badili mtazamo wako kuhusu BMW

  Hizi bwana ni gari za wenye wadhifa mkubwa.. Sisi vijana wa Mark II, Chaser IST, hiyo ligi kubwa inawenyewe.
 10. Flava90s

  Halotel mtakuja jutia kwa uamuzi mliochukua, mamia ya watu wanahama halotel

  Mkuu Samahani kidogo.. Kupata hiyo menu nadial namba gan?? Maana me Pia nna line ya University ila sijaona hiyo menu kwenye *149*99#
 11. Flava90s

  Wordpress hacks unazozijua

  Jamaa anaonekana ni nguli kwenye haya mambo ya web development, labda atuwekee hizo platform mpya na sisi tuzijue .. Me mpaka sasa naikubali Wordpress na nna penda kufahamu vingi zaidi wadau wa hizi kazi tushushe mambo hapa.
 12. Flava90s

  [Leaked] Facebook Wealth Formula,500$ Daily without having Website or A Product

  Mkuu Machozi, VP wew kuhusu hii ishu ya clickbank tukiachana na traffic ya fb ambayo kiukweli sio nzuri sana, umeshafanikiwa kuuza baadhi ya products za CB na kupata commission yako. Na ni njia gani unatumia kwenye mchakato mzima.
 13. Flava90s

  [Leaked] Facebook Wealth Formula,500$ Daily without having Website or A Product

  Ukishapata account VPN kazi yake inakua imekwisha mkuu. Unaendelea kubrowse kawaida tu.
 14. Flava90s

  [Leaked] Facebook Wealth Formula,500$ Daily without having Website or A Product

  Nenda post za juu kuna mtu kuweka maelezo namna ya kucrack hiyo software na video juu
 15. Flava90s

  [Leaked] Facebook Wealth Formula,500$ Daily without having Website or A Product

  Kwa ufupi soko linakua kubwa au Dogo kulingana na bidhaa utakayo taka kuuza, ila pesa ipo kabisa kuna baadhi ya bidhaa commission yake ni kubwa kulingana na bei yake, na bidhaa zingine commission yake ndogo kutokana na bei ndogo ya bidhaa na hizo ndo unaweza ukauza kwa traffic ndogo ya...