Recent content by fiter

  1. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Zimoto kimeeleweka

    asante mungu nmepata kazi baada ya msoto wa 2years japo wengi watabeza kua ni hela ndogo sio mbaya ndio pa kuanzia
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mnaowaanika viongozi wakiwa katika faragha mna maana gani?

    umetumwa wewe ndio viogozi wako hata siku wakikuambia wakumege utakubali
  3. F

    JamiiForums Tanzania Upendo Msuya wa Channel Ten

    acha kumfatilia mke wangu unaijua MISITU YA MABWEPANDE?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Upendo Msuya wa Channel Ten

    upendo akianza kubadilika au kuchepuka ntakutafuta.....USIONE VIPAPENDEZA TU....
  5. F

    JamiiForums Tanzania Upendo Msuya wa Channel Ten

    wewe ndio unamsalandia mke wangu unapajua misitu ya mabwepande?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kimya kingi kina mshindo mkuu

    hvi kama watatoa majina na hupo si utatamani kujinyonga
  7. F

    JamiiForums Tanzania Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

    Mimi toka nimejiunga sijawahi kupigwa ban, je wewe?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    nmedokezwa kua uhamiaji wamepachika watu wao 60 kwenye nafasi walizoita watu zaidi ya elfu 10, kuna majina nmeambiwa lazima yawepo na nimemrekodi aliyeniambia nangoja baada ya mchujo hayo majina yakiwepo naenda mahakamani kumshtaki huyo bosi wa uhamiaji aliyefanya hvyo
  9. F

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    kuna watu wanawasifu kuita watu wengi wenye vigezo ila sio sahihi bado... Kuna rfk yangu ni mtoto wa kamishna mkubwa wa uhamiaji kanambia kuna watu wao wamewapachika wapo ktk waliowaita interview na kuna majina kaniambia lazima yapite na kanionyesha bahati nzuri nmemrekodi kila alichosema...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kazi ubalozi wa Marekani

    washajulisha watu wao kuna hr 1 hapo ni noma kwa watoto ila wewe omba tu
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunahitaji muujiza watanzania wenzangu

    pumbu wewe
  12. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya kazi na ajira mmefikia wapi utekelezaji wa agizo lenu?

    raisi gani unamzungumzia wa madawa ya kulevya, asiyejielewa!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Marufuku mabango ya waganga wa Kienyeji

    nmekumis mbona cku hzi hunipm au kwa kua nshamaliza utafiti wangu
  14. F

    JamiiForums Tanzania Marufuku mabango ya waganga wa Kienyeji

    upo mpenzi
  15. F

    JamiiForums Tanzania Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

    Huyu kamishna hata kama niwa anatakiwa afikishwe kwa pilato pamoja na hr manager wa uhamiaji...haiwezekani nafasi 70 uite watu zaidi ya elfu kumi , katumia criteria gani? Au mlioitwa mnatakiwa muende alafu mgome kufanya usaili iwe fundisho wasirudie mwaka mwingne bz hata kama utang'ang'ania huo...
Back
Top Bottom