Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

Toka umejiunga JF umewahi kupigwa ban mara ngapi?

Sijawahi, kwa kuwa najitahidi kuwa na busara katika kuchangia JF. Nauchukia ujinga wa aina yeyote katika JF. Hivyo basi, siku nikipigwa ban sirudi tena JF, period.
 
Post-3
ukipigwa ban utakua unaonewa
 
kombe la dunia linachelewa kweli, tarehe hata hazisogei.
 
Mie pia sijawahi siku wakinipiga ban sirudi tena lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Una miaka mingapi humu? Una rep power ngapi? Likes ngapi? Post ngapi?
 
Nadhani mimi ndie makamu wa rais wa ban, nikifuata nyayo za rais wangu Ritz pamoja na waziri mkuu FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom