Recent content by Fisidume

  1. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikirejea kuangalia Mechi za AS Vita Club dhidi ya Al Ahly kule Misri na Kwao Congo DR napatwa na uwoga kwa Mkapa Jumamosi

    Nimeota ndoto mbaya; kipindi cha kwanza Simba 0- 2AS Vita Naomba hii ndoto isiwe ya kweli.
  2. Fisidume

    JamiiForums Tanzania Ndiyo kateuliwa lakini hapendwi na wengi

    Hata Mimi simpendi na ninatamani hata ubunge asiwe anapata. Kwani hakuna wengine? This is too much.
  3. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi ya Europa: Manchester United uso kwa uso na Real sociedad, Arsenal kumenyana na Benfica

    Hongera umeandika vizuri
  4. Fisidume

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Mkuu huu ugonjwa na Mimi umenipata yaani nawashwa haswa, tulizo langu limekuwa citrizen . He wewe ulishapona na ulitumia dawa gani?
  5. Fisidume

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Mkuu ulishapona huu ugonjwa, Kama ulipona ulitumia dawa gani??
  6. Fisidume

    JamiiForums Tanzania RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    We jamaa bumunda kabisa, si umetoka kupinga watu kuajiriwa wewe??
  7. Fisidume

    JamiiForums Tanzania Iringa na Njombe ilivyoshambuliwa na chawa

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
  8. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Atakayetabiri kikosi cha Simba dhidi ya Plateu na idadi ya magoli ana Tsh 500,000

    1.Manura 2. Kapombe 3.M Hussein 4.wawa 5.Onyango 6nyoni 7.mzamiru 8.mkude 9.boko 10. Chama 11. Miquison Mfumo 4:3:1 Sub. Beno, Morrison, bwalya ,ame,kagere, gadiel, dilunga
  9. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamisaa kashtuka sana Namungo kukosa penati

    Huu Uzi bila video Ni sawa na utopolo tu
  10. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemfungia Rais wa Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano

    Siasa za mpira hizo. Ahmad aliwekwa madarakani kimtego ili issa hayatou atoke. Mda umefika wamemtoa waje waliolengwa .
  11. Fisidume

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani Tanzania wenye uchawi wa kutisha na mkubwa zaidi?

    Hivi KOME mnapajua nyie? Nfuzi "Nigeria" ya Tanzania mnaijua? Vipi kuhusu Bugoro na Izindabo? Nyie acheni kunasehemu kunawachawi ni balaa!
  12. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

    Hivi nyie wanawake mnazani kuko kwenye mapachuchu yenu ni patamu eee?? Hebu Jaribu kulamb huko mwenyewe then uone ladha ya huko kabla ya kumshurutisha mwenzio azame chumvini.
  13. Fisidume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Tanzania ya viwanda.
Back
Top Bottom