Recent content by FisadiNyangumi

  1. F

    Alfonso Lenhardt: A new US Ambassador to Tanzania

    Raisi Obama amemteua Alfonso Lenhardt mwanajeshi mstaafu aliestaafu mwaka 1990 akiwa Meja Jenerali kuwa balozi wa Marekani nchini Tanzania... Katika uteuzi huo unaoanza mwezi Julai 01 Rais Obama anaamini bwana Alfonso atasaidia katika kuleta uhusiano mwema kati ya Tanzania na Marekani....
  2. F

    Kuna haja ya kupima UKIMWI kweli?

    Suala la kupima UKIMWI linasemwa sana. Tunaambiwa Tanzania bila UKIMWI inawezekana, kwa kupima. Inakuwa kama kujua afya yako ni jambo la maana sana. Ukiangalia athari za kujua afya yako kulinganisha na faida, utaona jinsi ambavyo tendo hilo la kupima halina msaada mkubwa kama inavyosikika...
  3. F

    Uume kusinyaa

    PUMU IMEPATA MKOHOZI Mi nimekuelewa pasha maji moto,chovya taulo dogo nakuikanda kwa dakika 5, hii itaongeza mzunguko wa damu. 1.ivute mbele kwa sekunde 6 2.ivute kushoto " " " 3.ivute kulia " " " 4.ivute chini " " " 5.ivute juu " " " Fanya zoezi hili mara 2 kwa siku kwa siku 10 haitasinya tena
  4. F

    Mtoto wa Sumaye Apata jiko

    Nahisi lowassa alikuwa bado anawakumbuka wahanga wa mabagala jamani
  5. F

    Mtoto wa Sumaye Apata jiko

    Fisadi (papanyangumi) benyamini mkapa nae alikuweeepoooooooooo
  6. F

    Mtoto wa Sumaye Apata jiko

    Ilipendesa sana
  7. F

    Mtoto wa Sumaye Apata jiko

    Picha zaidi za mtoto wa fisadi sumaye
  8. F

    Mtoto wa Sumaye Apata jiko

    How would the general feeling be if the touting was "Binti Temu apata buzi" or as the updated lingo seems to go, "Binti Temu apata ATM"? UCHKZI HUO MI SIMO
  9. F

    David mattaka kwenye anga zake

    Mama usimwachie huyo kila harusi ngangana;hivi sasa si wanawake tu wezi wa ndoa hata wanume nao wamebadilika na kuwa nyoka ngangania BMKUBWA
  10. F

    Mahakama yasimamisha uuzaji samaki wa Magufuli-wizi mtupu

    Mahakama yasimamisha uuzaji samaki wa Magufuli Na Mwandishi wetu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Pombe Magufuli. Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, jana ilisimamisha zoezi la uuzaji wa tani 296 za samaki aina ya johari kutokana na...
  11. F

    Wanajeshi wampiga trafiki kikatili, wadai kucheleweshwa Ubungo Dar

    Askari jeshi aliyempiga askari trafiki akiwa kazini atiwa rumande* Wenzake waendelea kusakwa Exuper Kachenje JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema limemkamata na kuwekwa mahabusu ya kijeshi wake mmoja mwenye cheo cha koplo kwa tuhumiwa za kushiriki kumpiga askari wa usalama barabarani...
  12. F

    Aliyebadilisha jinsia afariki dunia

    Huko dubai alikuwa ashikiki...jamani...anya way kisa kimoja cha kusikitisha sikumoja walikuwaclub wakaenda ****** walipofika vyoo vilikuwa vimepakana na vya wanawake baadhi ya wafanyakaz wa kike wakasikia watu wanabishana naaanza mimi aaahh naanza mimi mwingine akatoa ndege itakuwa aiondoki...
  13. F

    Aliyebadilisha jinsia afariki dunia

    masikini aluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu alikuwa ana auti nzuri kweli akiwa anawahudumia wateja wa ATCL nakumbuka alifukuzwa kwa sababu ya rubani mmoja alikuwa anaongoza kitengo chao akasikia rubani mwingine inasemekana alikuwa na mshine ya ajabu alikuwa anamchapa kule dubai watu...
  14. F

    Aliyebadilisha jinsia afariki dunia

    Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi: 1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo...
  15. F

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    BARUA TOKA MWANA-CCM BUSANDA "HII NI KURA YA MAONI" Salaam! Nikiwa ni mwanachama mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi ninaamini uchaguzi uliopo mbele yetu ni uchaguzi ambao ni sawa kabisa na kura ya maoni juu ya mwelekeo wa jimbo letu na hasa hali ya uongozi katika jimbo hili. Ni kura inayohusu...
Back
Top Bottom