Uume kusinyaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uume kusinyaa

Discussion in 'JF Doctor' started by Bontowar, May 26, 2009.

 1. B

  Bontowar JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 524
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kuna jamaa mmoja alikuawa akinielezea kuhusu hilo tatizo anasema kwamba inakuwa inasinya inakuwa ndogo je anawe kifanyaje ili tatizo hilo limwondoke?
   
 2. J

  JituParaTupu Member

  #2
  May 26, 2009
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamaa hajafafanua ni wakati gani inasinyaa. Tufafanulie ili usaidiwe.
   
 3. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jaribu ku-edit hii thread yako utupe maelezo yalio kamilika,maana tuna shindwa kukupa ushauri kutokana na kushindwa kuelewa tatizo la huyu mshikaji wako ,sijui ni wewe mwenyewe ila umeamua kupindisha mambo kidogo.
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Yeye anataka muda wote iwe imesimama?

  Just curious
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  teh teh teh
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  haijaona mawowowo?
   
 7. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #7
  May 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  au ni wewe mwenyewe ??
   
 8. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #8
  May 27, 2009
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama inatokea wakati wa kufanya mapenzi, huenda ni tatizo la kisaikolojia, Vinginevyo ajieleze vzr.
   
 9. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  mwambie amuone dr manyuki.....
   

  Attached Files:

 10. Robweme

  Robweme Senior Member

  #10
  May 27, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu
  Hata mimi sijakuelewa kabisa, unataka mda wote iwe imedinda au?
  Sijui lakini kusinyaa unakozungumzia,kwani jogoo siku zote huwa linalala kama liko fiti limeshiba, lakini likiwa na njaa mbona litasimama mda wote hata ukiwa ofisini utapata tabu,mpaka ulipatie chakula yake.
  Au unamaanisha kusinyaa kupi,kama unataka mda wote iwe wima poa mwone dakitari mda atakupa dawa na utadindisha mda wote.
  by:rolleyes:
   
 11. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #11
  Jun 1, 2009
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  You are funny!!! LMAO
   
 12. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #12
  Jun 1, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wewe unafikiri atakuwa nani kama si yeye mwenyewe?
   
 13. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mi nimekuelewa pasha maji moto,chovya taulo dogo nakuikanda kwa dakika 5, hii itaongeza mzunguko wa damu.
  1.ivute mbele kwa sekunde 6
  2.ivute kushoto " " "
  3.ivute kulia " " "
  4.ivute chini " " "
  5.ivute juu " " "
  Fanya zoezi hili mara 2 kwa siku kwa siku 10 haitasinya tena.
   
 14. F

  FisadiNyangumi Member

  #14
  Jun 3, 2009
  Joined: May 4, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  PUMU IMEPATA MKOHOZI

  Mi nimekuelewa pasha maji moto,chovya taulo dogo nakuikanda kwa dakika 5, hii itaongeza mzunguko wa damu.
  1.ivute mbele kwa sekunde 6
  2.ivute kushoto " " "
  3.ivute kulia " " "
  4.ivute chini " " "
  5.ivute juu " " "
  Fanya zoezi hili mara 2 kwa siku kwa siku 10 haitasinya tena
   
 15. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  NENDA HOSPITALINI

  tatizo hili linaweza kuwa serious, usipuuze na usiende kwa waganga, watakula hela zako bure na hawana lolote
   
 16. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Duh! Mkuu, Itabaki kweli!!!!!!!!?
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Fisadi Nyangumi na Kyakya angalieni kwenye internet mtapata zoezi hili.
   
 18. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #18
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama tiyari ana watoto, aiache hivyo hivyo kuepuka ukimwi.
   
 19. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mzee ubaya huo, unamfundisha mwenzako kupiga nyeto
   
 20. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,589
  Trophy Points: 280
  Fisadi Nyangumi na Kyakya angalieni kwenye internet mtapata zoezi hili.
  __________________
  LEGATEGE NA MIE NIJULISHE JAMANI..NTAIPATIA WAPI HIYO
   
Loading...