Aliyebadilisha jinsia afariki dunia

Guys this is enough ...[ame="http://www.youtube.com/watch?v=Io735sjM230&feature=related"]pateni ujumbe hapa[/ame]
 
Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi:
1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo kujenga Mbezi Beach.
2. Hakuwahi kuwa Baharia maishani mwake bali mfanyakazi wa ndege ( Steward) ATC.
3. Hakubakwa bali alijisumu ( commit suicide thru self -poisoning)
Samahani lakini ndiyo ukweli.

tunaweza kupata namba ako mkuu ukatusaidia kwenye upelelezi....aiwezekani kila shoga anafia ufukweni...tunahitaji msaada wako
 
masikini aluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

alikuwa ana auti nzuri kweli akiwa anawahudumia wateja wa ATCL nakumbuka alifukuzwa kwa sababu ya rubani mmoja alikuwa anaongoza kitengo chao akasikia rubani mwingine inasemekana alikuwa na mshine ya ajabu alikuwa anamchapa kule dubai watu wakamla chabo ndipo aliporudi akukaa sana wakamsakizia kesi akatimuliwa
pamoja na kutimuliwa alikuwa mkarimu mashaalaa hata alipoamua kuingia rasmi hakusita kumjulia hali ule rubani aliemfukuza

RIP

ALUUUUUUUUUUUAAA
 
Huko dubai alikuwa ashikiki...jamani...anya way kisa kimoja cha kusikitisha sikumoja walikuwaclub wakaenda ****** walipofika vyoo vilikuwa vimepakana na vya wanawake baadhi ya wafanyakaz wa kike wakasikia watu wanabishana naaanza mimi aaahh naanza mimi mwingine akatoa ndege itakuwa aiondoki gafla wakaanzasikia sauti ya uhuzni yalaaaaaaaaaaahh toba wanaichafua mtoto wa mwenzio ...kilichofwatia anajua aluuuuuuuuuuu uk aliko
 
DAILY NEWS!
Sex-change ‘man’ in suicide bid:

By:DARIUS MUKIZA, 20th May 2009 @ 00:00

It is now unfolding that Abdalla Aluu, popularly known as aunt Victoria of Mbezi Beach, who on Sunday was rushed to Mwananyamala hospital on claims that he changed his male organs to female, is actually the father of two children who are now in abroad. It has also been revealed that Aunt Victoria changed the organs through surgery done in China almost ten years ago.

The 'Daily News' established yesterday that Aunt Victoria poisoned herself last Sunday, in an attempt to commit suicide on grounds of being overburdened with love affairs. Eyewitnesses narrated at Kipongoso Mbezi beach where Aunt Victoria lives, found that on Sunday night, she was found outside her house by her landlord’s wife, Mrs Urombo, vomiting and complaining of severe pains. Sensing an emergency, Mrs Urombo phoned to seek police assistance. “Police from Kawe came with two Land Rovers and picked her,” the eyewitness said.

She said before she was picked and rushed to Mwananyamala hospital, curious eavesdroppers claim to have already assessed her anatomy – because they were allegedly able to see her breasts, since she was scantly covered with a single piece of khanga. Grapevine accounts also suggested they had read a suicide note in which the ‘woman’ said, “I have decided to kill myself because of being overburdened with love affairs,” The eye witness went on saying that the letter had also the names of people whom she owes money and her debtors.

He said he managed to see even some of the debts of 25,000/- and 5,000/- indicating she had taken household items from unidentified shops on loan. Later, the narrator took this reporter to a place where Aunt Victoria was constructing a casino at Banda Beach Club area that she intended to launch it at the end of this month – a big social hall and one reception, with all its tinted-glass doors.

It was all quiet at the residence of Aunt Victoria, because she lived alone – and had no relatives in the area. She lives in a two-roomed fenced house, surrounded by towering cellular phone pylons, all of which serve to mask her entrance gate. Before changing her sex about ten years ago, Aunt Victoria had married a European woman with whom they had two children, born at a time when the couple lived at Mbezi beach Mitimirefu, where the family had built a house.

Emmanuel Petro, a neighbour of Mr Aluu at Mitimirefu during those days, said he was a father of the family that was much respected. He said he had kept cows where he employed youths. He said, Mr Aluu separated with his wife after his sex-change surgery in China and he had sold his house just before the operation, as his wife and the two children went to Europe. This house he sold is quite palatial in Tanzanian terms – fenced all around. At the Muhimbili National Hospital-Mwaisela (female ward), our team found Aunt Victoria asleep with tubes in her noses breathing with difficulty, but with her beautiful earrings on.

The ward attendants routinely barred visitors from seeing her, on grounds that she had told them that she had neither friends nor relatives. They also declined comment regarding anything on her status. However, the hospital Public Relations Officer, Jeza Waziri, said that on examination, Aunt Victoria was found to have suffered from meningitis and had some toxins in her body. He added that Aunt Victoria had started talking, albeit slowly and with difficulty and that she was due for further medical examinations.
 
Jina lake halisi ni Hanif Aloo. Huyu kijana ana asili ya kihindi (na pengine ana damu kidogo ya kichaga) na alizaliwa Moshi mjini. Alikuja Dar es Salaam mwaka 1979 na kufikia mtaa wa Mikumi Magomeni kwa Bwana mmoja mchaga aliyekuwa ameajiriwa na Car & General ambaye inasemekana alikuwa rafiki wa marehemu babake. Wakati huo Hanif alikuwa na umri wa takriban miaka 16 au 17. Mama yake alikuwa shupavu na akiendesha kampuni ya mabasi huko Moshi. Namkumbuka yule mama (sijui kama bado yuhai) akiwa amevaa over-all na spana akiingia chini ya basi pamoja na makenika wake huku yeye akiwa amechafuka na magirisi. Alikuwa mbabe ! Dada mdogo wa Hanif (Shenaz ??) alikuwa na uhusiano na Hussein Masha, mchezaji wa Taifa Stars na Simba, miaka ya 1990's mwanzoni

Wanaomfahamu Hanif wanajua kuwa alikuwa na uhusiano wa karibu sana na bingwa wa ndondi duniani Mohamed Ali, kiasi kuwa Hanif alisafiri zaidi ya mara moja kwenda Marekani kumtembelea (alipata kutuonyesha picha alizopiga na Mohamed Ali) na hata Mohamed Ali alipokuja hapa Tanzania Hanif alikuwa karibu yake sana. Mtu mwingine aliyekuwa na urafiki wa karibu na Hanif ni mchezaji soka nyota wa wakati huo wa Uingereza mwenye asili ya kiafrika nadhani akichezea West Ham anaeitwa Justin Fashanu. Inashangaza vipi Hanif aliweza kuunga urafiki na watu mashuhuri wa kimataifa kama hao. Aidha, Hanif pia alikuwa na uhusiano wa karibu na wanasiasa wa juu wa hapa nchini.

Mwaka 1986 Hanif alikutana na msichana mmoja wa kijapani aliyekuwa akisomea medicine pale Muhimbili, wakapendana na kuoana. Baada ya mwaka hivi walipata mtoto wa kiume na baadaye wakaenda pamoja Japan. Walikaa huko kwa zaidi ya miezi sita, waliporudi Hanif alilalamika kuwa wakwe zake walikuwa hawamtaki kabisa na wakamshinikiza binti yao watengane kwa kigezo kuwa hakupaswa kuchanganya damu na mtu asiye mjapani. Kwa zaidi ya miaka miwili, Hanif alikuwa amechanganyikiwa kwa vile mkewe alitaka amnyan'ganye mtoto arudi Japan. Wakati huohuo inasemekana mke naye aliweza kuthibitisha ushoga wa Hanif baada ya kumfumania zaidi ya mara moja.

Mwishoni Hanif alikubali fidia ya pesa ili amuachie mjapan mtoto na kwa hiyo wakaachana.Hanif akatumia pesa zile kununulia kiwanja maeneo ya Mbezi Beach na akajenga nyumba ndogo pale. Kuna wakati alipata kazi kampuni ya Kearsley's Travel agency ya mtaa wa Makunganya na nadhani hata Sykes Travel agency pia.

Wakati wote huo Hanif alikata mahusiano na familia yake kule Moshi na hata muonekano wake uliashiria ugumu wa maisha. Hata hivyo alitokea kujenga uhusiano wa karibu sana na malaya wa mjini na ndio walikuwa marafiki zake wa karibu. Si ajabu katika mazingira yetu shoga kugeuka kuwadi na ndivyo Hanif alivyoishia na akawa hana kazi maalumu kwa miaka mingi.

Miaka miwili mitatu iliyopita Hanif alikamatwa na Polisi kwa tuhuma ya kuendesha danguro nyumbani kwake kule Mbezi. Taarifa hii iliandikwa na magazeti kadhaa lakini kesi yake haikuweza kusimama.

Inasemekana kuwa Hanif mwaka jana iliamua kuiuza nyumba yake na fedha alizopata aligharamia safari yake ya kwenda Thailand kwa ajili ya kujibadili jinsia. Pamoja na hormones alizopewa Hanif aliporudi aliota maziwa kama mwanamke na kuanza kuendesha maisha yake kama mwanamke wa kawaida, ikiwa pamoja na kuvaa mavazi ya kike. Alipunguza sana kutoka kwenda matembezini.

Inasemekana Hanif hakubakwa kama magazeti mengi yalivyotangaza, bali alitaka kujiua kutokana na matatizo binafsi inawezekana ni majuto ya kitendo chake cha kubadili jinsia, mahusiano ya kimapenzi au ugumu wa maisha. Hayo yanadhibitishwa na mama mwenye nyumba yake ambaye ndie aliye piga simu polisi baada ya kumuona hali yake imebadilika. Inasemekana pia kuwa ipo barua ambayo Hanif aliacha inayoashiria uamuzi huo.

Baada ya mabadiliko hayo ya jinsia, Hanif akabadili jina na kujiiita Victoria.
 
Mkuu Bill with all due respect.Naomba tumtendee haki kwa kutoa taarifa sahihi kumhusu marehemu, pamoja na mapungufu yote aliyokuwa nayo.Just to put the record straight ni hivi:
1.Hakuwahi kuuza nyumba ya urithi.Nyumba aliyouza ni yake na alijenga mwenyewe.. akiwa mmoja wa wakazi wa mwanzo kujenga Mbezi Beach.
2. Hakuwahi kuwa Baharia maishani mwake bali mfanyakazi wa ndege ( Steward) ATC.
3. Hakubakwa bali alijisumu ( commit suicide thru self -poisoning)
Samahani lakini ndiyo ukweli.


Hukudokeza ikiwa alibadili jinsia wapi na ikiwezekana lini. Hili ndilo jambo la muhimu likifuatiwa na maelezo yako hapo juu.
 
Hukudokeza ikiwa alibadili jinsia wapi na ikiwezekana lini. Hili ndilo jambo la muhimu likifuatiwa na maelezo yako hapo juu.
MSHIIRI,
LONG TIME! Karibu tena maana sijakuona kitambo.
Naomba umsome HALISI hapo juu utaona ameelezea vizuri sana real history ya Aloo/Hanif aka Victoria.
Asante
 
Jamani tugusien na ya mac d mdogo wetu inaonekana mkuu ana history nzuri za ma ****** anaweza kutusaidia sana jamvini
 
MSHIIRI,
LONG TIME! Karibu tena maana sijakuona kitambo.
Naomba umsome HALISI hapo juu utaona ameelezea vizuri sana real history ya Aloo/Hanif aka Victoria.
Asante

I am sporadically present, here and there researching to update. Sure HALISI ameeleza kiundani zaidi na mada imekuwa wazi. Huyu jamaa ni product au function za devil mathematically.
 
Back
Top Bottom