Recent content by Fisadi Mtoto

  1. F

    Ni vigumu kuwatoa CCM madarakani 2015

    Hueleweki unachoongea wewe mgonjwa utakuwa
  2. F

    Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    Mazishi Leo saa Tisa kisutu kama mnavyojua kwa Dini ya kiislamu wanazika Leo leo
  3. F

    Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    Leo alfajiri baba mzazi wa Rostam Aziz, mzee Abdurasul Aziz amefariki dunia baada ya kuumwa kipindi kirefu. Alitibiwa Muhimbili na baadae kwenda Ufaransa ambako baada ya kuzidiwa alitaka arudishwe nyumbani Tanzania ili afariki akiwa huku.Baada ya kurudi alfajiri ya Leo alifariki masaa mawili baadae.
  4. F

    Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

    Mnaanza na kutengeneza email za watu lo
  5. F

    La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It Cool!-Usijibizane Mitandaoni!.

    nimepata kuseama mara nyingi kuwa Chadema suo sehamu muafaka ya watu wenye akili kama Zitto na Kitila kukaa ndani yake na ukweli umeanza kuthibitishwa rasmi
  6. F

    Samson Mwigamba ana Hoja za Msingi Asihukumiwe, Wanachadema Tutafakari kwa Makini

    Cdm ni Chama cha wahuni na Hilo halitakwepeka hata siku moja Kuwa tofauti
  7. F

    Wilaya ya Kongwa wanachi hawajui CHADEMA ni kitu gani

    Sio kongwa tu ni maeneo mengi tu hawaijui chadema na hata wanakoijua wanajua ni magaidi tu
  8. F

    List ya wanawake kumi wanaoshika vyeo vikubwa bongo

    Aibu yako mama Makinda hajawahi olewa umemdivorce wewe
  9. F

    Magazeti yana nini na Mh. Dr. Emanuel Nchimbi?

    Kama kuna siku aliongea vema basi ilikuwa ni jana big up Nchimbi
  10. F

    Magazeti yana nini na Mh. Dr. Emanuel Nchimbi?

    Hii sio hoja tena alishathibitisha kuwa ana Phd na ilisaishiwa external supervisor Udsm....wewe umetoka usingizini
  11. F

    M23 wadai kumkamata askari wa JWTZ

    Waungwana nimewasiliana na kijana wangu alieko mstali wa mbele kabisa Drc kanihakikishia kuwa huyo sio askali wao na pia pasport yake inaonekana kutolewa mwezi wa sita wakati mwezi huo askali wote wanaoenda kongo walikuwa wameshaandaliwa na passport zao tayari wameondoka.
  12. F

    Kamati Kuu: Wafukuzeni Hawa Vinginevyo Tunawaongoza Watanzania Kuihama CCM

    Watu wanaowashughulikia vema chadema ndio tuwafukuze hahahahahahmawazo ya kilevi kabisa sijapata ona
  13. F

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    Uwezo wa akili wa wanachadema ni mdogo sana hata lisu nae mnathubutu kumuita alama ya uwepo wa Mungu...ka
  14. F

    Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) ashikiliwa na Polisi Dodoma!

    Wamsamehe tu sugu maana akili zsake zimejaa moshi wa bangi tu
Back
Top Bottom