EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,117
leo nikiwa ndani ya daladala mara nikasikia dereva analalama kwamba watanzania tuna uelewa mdogo sn ndo maana serikali ya CCM inatununua kwa chumvi,wali,tshirt,uwongo.
Nikatega skio nijue kulikoni kumbe abiria walikuwa wanamgombeza konda kwanini hakuwashusha walipokuwa wanataka dereva akawaambia traffic hataki na yupo pale but wao wakaanza kumnenea maneno machafu.
Kweli ndo maana tunanunuliwa,kama inafikia hatua hata humu watu wanataka mbunge kama Mnyika asirudi bungeni kwamba hakuna alichofanya ktu ambacho sio kweli kwani jimbo hilo lilikuwa chini ya CCM karibu miaka yote but hakuna cha maana walichofanya.
Pia watu humu wanasema Lissu hawamtaki jmboni kwake kwani kazuia maendeleo kwa kuzui wananchi wasichangie chochote wakati jimbo hilo hilo lilikuwa la CCM takriban miaka 45,walifanya nn?
Je Singida mjini na kwa Mwigulu kuna nini cha maana walichokifanya kwa kuchangisha wananchi pesa kinyume cha sheria?
Kinana na genge lake wanazunguka nchini wakieneza propaganda za kijinga na kuwalaghai watu halafu humu kuna majitu yanasema CCM chini ya Kinana imepanda.