Recent content by Fisadi.Jones

  1. F

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Self centered your bra! Hivi mbona wanawake wengine uwezo wa kufikiri unakuwa mdogo sana? Jamaa kashakwambia hii ishu imeshakaliwa na hata wazazi wa pande zote mbili na imeonekana mwanamke ana tatizo. Pengine ungemwambia avumilie, lakini kumuita self centered wakati case yenyiwe iko wazi...
  2. F

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Kina Irene Uwoya utawajua tu. Wanapenda sana kuvuna wasivyopanda. Makupeeee ... wasipoolewa maisha mgogoro ile mbaya
  3. F

    Makosa saba wafanyayo wasichana ambayo huwafanya wachelewe kuolewa !!!!

    Bomba sana, ila amesahau moja ... Baadhi ya wasichana ukichukua namba yake ya simu leo, kesho yake anakuomba umtumie vocha ...
  4. F

    Usimpeleke mzazi Hospitali ya Kwa Kilonzo, Mwanza ... kisu guaranteed

    Jamani hii nimeona nishee na wenzangu hasa wale wakaazi wa Mwanza. Kuna hii hospitali ya Kwa Kilonzo ambayo inajulikana kama ndio best kwa wanaojifungua. Lakini ukweli ni kwamba wana tabia mbaya sana ya kulazimishia operation badala ya kujifungua kawaida, hata kama umuhimu wake hakuna...
  5. F

    Bwana amenituma kuja humu!

    Kuna kauwezekano alikuwa namatatizo ya akili, hasa yale yanayo ambatana na kifafa (epilespsy). Soma kuhusu Simple Partial Seizures. Mtu anayepata hiyo anakuwa na "visions", na kama ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kushawishi watu, basi ndio kama vile. Na kuna dini kadhaa za hivi karibuni...
  6. F

    Land Cruiser VX Inauzwa

    http://www.tradecarview.com/used_car/japan%20car/toyota/land+cruiser/?eid=1&fid=1995&jid=1995&fu=17&ps=25&so=1&fd=VX
  7. F

    Bwana amenituma kuja humu!

    Pale unapoongea na Mungu, tunasema unasali. Pale Mungu anapoongea na wewe, tunasema unakichaa.
  8. F

    Narudi bongo, msaada wakuu!

    Ni mtazamo tu. Usilazimishe wengine mtazamo wako. Kama miaka 15 iliyopita ulikuwa na uwezo wa kuwa na simu, basi at least utagundua sasa hivi unazungukwa na watu wengi zaidi wenye simu kama wewe. Hilo ni badiliko. Kama miaka 15 iliyopita ulikuwa huna uwezo wa kununua simu, utagundua sasa hivi...
  9. F

    Narudi bongo, msaada wakuu!

    Achana na Crispin ... jamaa ni sexually frustrated in real life. Mwache ajitutumue humu apate moyo kwamba na yeye ni mwanamme rijali.
  10. F

    Unataka kuagiza gari??... pitia hapa kwanza

    Pole kwa maswahibu hayo. Ilikuwa lini hii mkuu?
  11. F

    Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Wewe umeona issue ni wapi tunapata umeme wa haraka. Wengeni hatukubaliani na hilo. Tunataka umeme wa haraka, kwa kufuata sheria, na kwa maslahi yetu. Sio umeme wa haraka halafu baadaye tunatina vidole. Jinsi watu kama wewe walivyowepesi wa usahau yaliyotukuta huko nyuma inanifanya niwe na...
  12. F

    Unataka kuagiza gari??... pitia hapa kwanza

    TRA ifanyeje? Kwani TRA huwa wanafanya nini kwa makampuni na watu wanaokwepa kulipa kodi humu ndani ya nchi? Je, huwa wana-uplift randomly tu kodi za makumpuni na watu jinsi wanavyojiskia? Maana watu wanaotutisha humu ni wale wanaotupa picha kwamba TRA wana-uplift wakijiskia tu. Na wengine humu...
  13. F

    Unataka kuagiza gari??... pitia hapa kwanza

    According tu ka dubwana haka http://gariyangu.appspot.com , nikichkulia cc 1600 Jumla ya kodi: 4,240,990 TZS Tayarisha 4,533,490 kwa ajili ya kodi na charges nyingne pale bandarini. Halafu na hela ya agent/dalali wako
  14. F

    Unataka kuagiza gari??... pitia hapa kwanza

    According tu ka dubwana haka http://www.gariyangu.com , nikichkulia cc 1600 Jumla ya kodi: 4,240,990 TZS Tayarisha 4,533,490 kwa ajili ya kodi na charges nyingne pale bandarini. Halafu na hela ya agent/dalali wako
Back
Top Bottom