Recent content by FineOnce

  1. FineOnce

    Huyu hapa mrithi wa Fiston kalala Mayele anaitwa Emmanuel Mahop kutoka Cameroon

    Anaweza kuwa mchezaji mzuri lakini hawezi kuwa kama Mayele....
  2. FineOnce

    Viongozi wa timu ya Simba na Waandishi washindwa kupanda Mlima Kilimanjaro

    Nafikiri lengo kuu la kuzindua jezi kwenye kilele cha mlima ni marketing. Na wamefanikiwa kuitangaza kwa mawanda mapana sana na level ya kimataifa....
  3. FineOnce

    Ni tabia gani ya ovyo huonesha pindi unapokuwa na pesa

    Kutokuweka akiba... Yaani, matumizi kwanza saving badae najikuta pesa imesha. Namshukuru Mungu, changamoto hii nimeikomesha tangu March, 23. Hii ni baada ya mtoto wa mama mdogo kunitembelea nyumbani mapema mwaka huu. Aidha, namshukuru sana huyu ndugu yangu. Huyu jamaa ni rafiki yangu wa...
  4. FineOnce

    Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

    Pale ndoa inapogeuka kuwa ndoano... Ni wanaune wachache sana wanaoweza kuhimili taflani kama hii ktk hali tulivu licha ya chukizo na hasira zilizomjaa mhusika/ wahusika... Alafu, mtu anapopaniki automatically anaweza kufanya jambo la ajabu bila kutegemea. Mfano: kuongea kwa sauti kubwa bila...
  5. FineOnce

    Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

    Binafisi wapo naowafahamu kuwa wanatumia jf ila sijui ID wanazotumia...
  6. FineOnce

    Chai yenye tangawizi nyingi ya kusagwa ni noma wakuu

    Ndiyo inatakiwa hiyo sasa...alafu ili ikolee poa, vunja vunja vipande kisha twanga twanga kwa pa1 na punje za v.saumu hadi viwe laini... alafu chemsha mchanganyiko huo na machai chai... Kunywa kila siku asubuhi (ukiamka kabla hujala chochote) na jioni (kabla ya kwenda kulala).... Libido lazima...
  7. FineOnce

    Wivu kwa Pep Guardiola unatokana na nini?

    Natamani Gadiola apate timu ya Taifa kwani hadi sasa kwenye vilabu hadaiwi chochote. Wanaobisha kuwa si kocha bora ipo siku watakubali tu hasa akiweza kuchukua world cup maana ndiyo kikombe pekee kilichobakia mwamba anadaiwa...
  8. FineOnce

    Chai yenye tangawizi nyingi ya kusagwa ni noma wakuu

    Kweli kabisa... mimi niligundua wakati wa covid19. Baada ya tiba mbadala nyingi nyingi kuvuma ikiwemo recip hiyo ya tangawizi+limao+vitunguu swaumu ikabidi niwe nakunywa kutwa 1x3 kila siku... Matokeo niliyoyapata ni kama ifuatavyo: 1. hamu ya tendo la ndoa kuongezeka isivyo kawaida. 2. hali ya...
  9. FineOnce

    JamiiForums Usiku wa manane

    Usiku wa maanane... siyo manane... nimewahi kuona masahihisho ya neno hilo mahali wazeia...
  10. FineOnce

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Watoto wangu watatu wajao ntawapa majina yafuatayo: 1. Leome kutoka kwa Leonel Messi. 2. Allister kutoka kwa Alexis Mac Allister. 3. Emilliano kutoka kwa E.Martinez.
  11. FineOnce

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Kama kawaida mkuu
  12. FineOnce

    Cristiano Ronaldo kama kulinganishwa alinganishwe na akina Lewandowski na Ibrahmovich

    Messi10 mwenye umri wa miaka 35 (MZEE) Kawa mchezaji Bora WA mashindano na Mbappe wako kijana kamzidi goli Moja tu... Hulioni hilooo....
  13. FineOnce

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Andamana !!! VAAAAAMOOOOOS ARGENTINA!!!!
Back
Top Bottom