Huyu hapa mrithi wa Fiston kalala Mayele anaitwa Emmanuel Mahop kutoka Cameroon

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,747
PROFILE YA EMMANUEL MAHOP

jina kamili: Emmanuel Mahop Dikongue
Utaifa: Cameroon
Tarehe ya kuzaliwa
3 January 1995
Miaka 28

Nchi aliyozaliwa: Equatorial Guinea
Nafasi: Mshambuliaji
Timu anayocheza: Canon Yaounde

Emmanuel Mahop ni raia wa Cameroon pia ni Mchezaji wa canon yaounde iliyopo nchini Cameroon huku akiongoza timu yake kumaliza Nafasi ya kwanza ya ligi kuu ambayo inaitwa elite one.

Canon yaounde na cotton sports ambayo imeshika nafasi ya pili kwenye ligi hiyo Timu aliyotoka Mchezaji mpya wa simba che Malone fondoh, wakipishana kwa point mbili 38 kwa 36 ,timu hiyo ikifunga magoli 31 na kuruhusu magoli 14 katika michezo 20.

Pia amecheza mechi mbili za national team hivi karibuni zote akitokea sub.
Namibia 2-1 Cameroon
Cameroon 1-1 Namibia

amecheza mechi 20 goli 13 kati ya goli 31 ya timu yake.

1689880115959.jpg
 
View attachment 2694686
Nimejaribu kumuangalia uchezaji wake, naomba nikiri tu kuwa sielewi hayo magoli anayofunga huwa yanaingiaje au ni mwaka wa bahati tu.
Kwa uchezaje wake huyu jamaa nawahakikishieni kuwa mtamkumbuka Gaudence Mwaikimba.
Inawezana akawa na magoli 13 kati ya 31 lakini magoli yake yote yakawa ni magoli ya Saidoo Ntibazonkiza.
 
Anaweza kuwa mchezaji mzuri lakini hawezi kuwa kama Mayele....
 
MAYELE ALIKUWA MSHAMBULIAJI.
ALIKUWA FOWARD.
ALIKUWA STRAIKER.
GOALGATER.
BULL STRAIKER.
STRAIKILER FORCE NK.

itachukua miaka Mingi sana kuja kupata mtu kama Mayele.
 
Endeleeni kuokota okota tu ligi ikianza tusisikie lawama kwa vyovyote maana hamkawii.
Sajilini madunduka tu!
 
Nimejaribu kumuangalia uchezaji wake, naomba nikiri tu kuwa sielewi hayo magoli anayofunga huwa yanaingiaje au ni mwaka wa bahati tu.
Kwa uchezaje wake huyu jamaa nawahakikishieni kuwa mtamkumbuka Gaudence Mwaikimba.
Inawezana akawa na magoli 13 kati ya 31 lakini magoli yake yote yakawa ni magoli ya Saidoo Ntibazonkiza.
Utaelewa tu yanavyoingia siku sio nyingi
 
Mimi naendelea kuombeleza kwa ajili ya Mayele tuu kama kwel ndio ameshaenda.Acha roho iniume tu maana hatakuja hiv karibun atokee mtu wa aina yake..itatuchukua miaka mingi sana
 
Huyu kashatangazwa au mbona taarifa zimekua nyingi sana?

Mara Sudi Abdallah kutoka Burundi alikua anakipiga Malaysia.
 
Back
Top Bottom