Recent content by fine face

  1. fine face

    Lazima heshima irudi

    Mmmmh ila wababa wengi wana maradhi so kuwa makini......
  2. fine face

    Msaada: Msongo wa mawazo umenikosesha usingizi

    Hao wadada mnaowatongozaga wanashida saana aisee
  3. fine face

    Hivi ni kwanini mwanamke akisha kupa papuchi hamu ya kuwa naye inapungua?

    Kwanza siku akiniambia kuwa amewahi wanawake 3 tu ....... namuacha hapo hapo. Maana lazma litanisumbua tu
  4. fine face

    Tukio gani baya la mahusiano ulilofanyiwa ila limekufanya kuwa ngangari kwenye mahusiano

    Pole saana dada..... ila tabia ya kuombeana mabaya kisa mtu amekuacha sio nzurii. Inatakiwa tujifunze si kila mahusiano mwisho wake ni ndoa sasa mwenzio ameona upendo wake umepungua asikwambie? Aendelee kukudanganya danganya? Bora muachane nawe upate mpenzi wa moyo.... ila sio kuombeana mabaya...
  5. fine face

    Mikono yangu inaota sugu, nitumie mafuta gani ili iwe laini?

    Hivi M kwenye kiganja inamaanisha nini?? Na wale wassup na M maana yake nin?
  6. fine face

    Wakaka: Unawezaje kuoa mwanamke ambaye humpendi?

    Huwa nasikitika saaana kuona mwanamke mwenzangu anadanganywa kwa visababu visivyo na kichwa wala miguuu.... kwa karne hii hakuna mwanamme anayelazimwa kuoa. Huyo ndo aliyemuona anafaa na kumchagua awe the love of his life forever.
  7. fine face

    Weekend story: Bad wives

    Yaani hata mm sijalala namsubiria lara1......
  8. fine face

    Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

    Ulishakosea kwenda na rafik yako.... Ila huna haja ya kujipendekeza kwake infact kwamba bado hamjaanza mahusiano yeye kama kaamua kususa muache asuse tuuu siku akichoka atakutafuta mwenyewe..
  9. fine face

    Hivi mkipewa maua na wapenzi wenu huwa mnayafeel?

    Hiyo hela ya kununulia maua bora unipe tuuu [emoji85][emoji85]
  10. fine face

    Kumgharamia mwanamke ni kipaji na sio kila mtu anacho

    Mwanamme unatakiwa kuona fahari kumuhudumia mwanamke wako na sio kuanza kulalama ......sasa kama hizo huduma ndogo ndogo ulitaka amwambie nani? wakati wewe ndo mtu wake. Jamani kakazetu kuweni na furaha pindi unapomsaidia mwanamke wako na moja ya jukumu lenu ......
  11. fine face

    Kwanini wengi wanaonyesha wamekata tamaa na mahusiano?

    Mim bado cjakata tamaa maana natambua fika hawa madungaembe ya mjini ni watipitaji tuuu.... I still believe true love do exist
  12. fine face

    Relationship and letting go. Why I oppose this?

    Sometime holding on hurts more than letting go....
  13. fine face

    Wanawake ni wengi mno!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. fine face

    Hatimae nimeweza kupika chapati

    Khaaa yaani kumbe upo serious kabisa ..... kuwa hizo ndo chapati umepika!!! Mmmmmmmh
  15. fine face

    Utakuja jutia, usioe msichana mliekutana ukubwani especially miaka 25+

    Hahaha mawazo ya vivulana bhana ayaaa kudanganyana na wavulana wenzio, kwa kuwa bado hamjua mnataka nini kwenye maisha halisi.... Mwanamme kamili hawezi kuwa na fikra fupiii kama zako.
Back
Top Bottom