Recent content by FILOMBE

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waziri wa nishati, George Simbachawene atisha kura za maoni

    Wapi Eng Gabriel Mwikola
  2. F

    JamiiForums Tanzania Update ya mkutano wa wanahabari na Mh. Magufuli

    Habari wadau! Nilisikia kuwa Mh. Waziri wa Ujenzi leo atafanya kikao na Wanahabari pale Idara ya habari maelezo kuanzia saa 3 asubuhi, please naombeni updates kwa mlio karibu
  3. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe tizama na huku pia

    Habari wana JF. Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa mawaziri katika serikali ya Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ni ukweli usiopingika kwamba waziri mwenye dhamana ya uchukuzi Mh. Dk Harison Mwakyembe ni miongoni mwa watendaji bora kabisa wenye uwezo wa kuchukua maamuzi pale inapohitajika. Ni ukweli...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mgogoro kati ya Waziri Kagasheki na H.shauri ya Manispaa ya Bukoba.....kila mara Dr. Slaa anatajwa

    Ni kweli Dk, Slaa ametajwa sana katika mkutano wa Mh. Kagasheki. Nimegundua kwamba Dk Slaa ni tishio na anarekebisha uozo. Ushauri wangu kwa Wanakagera, wasawazishe tofauti hizi kati ya Mbunge na Meya kwani hazileti tija yeyote kwa maendeleo ya Bukoba na wananchi wake. Kwa mwenye taarifa eti ni...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania na umasikini wetu

    Habari wana JF. Nimetafakari kwa kina sana juu ya huu umasikini wetu unaotukabili Watanzania kama taifa na kama Mtanzania mmoja mmoja. Umasikini huu unaotukabili ni wa aina 2, umasikini wa kwanza ni ule wa kujitakia wenyewe na mwingine ni ule wa kupandikizwa. Umasikini wa kujitakia ni ule...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mh. Dk Mwakyembe chukua hatua

    Habari wana JF. Kwanza nianze kwa kukupongeza Mh. Waziri kwa hatua ambayo umeanza kuichukua, yaani hatua ya kuongoza wizara kwa kutoka Ofisini na kutizama matatizo ya wananchi yanayowakabiri yaliyo chini ya Wizara yako, kwa kweli hiyo ni hatua nzuri kabisa. Kwanza kabisa ulianzia pale TRL...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Simba na Nyoso

    Habari wana JF, nafuatilia kwa makini kipindi hiki cha usajili wa wachezaji wa timu zetu kuelekea msimu mwingine wa ligi kuu ya Tanzania kwa timu zetu hizi za Bongo. Ukifuatilia kwa kina utaona vyombo vingi vya habari vinatupia macho klabu kubwa za Yanga na Simba na sasa kwa kiasi fulani klabu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa aongoza kamati ya bunge ziarani-Morocco

    Two things to be done; 1. Picha hizi ni za lini? 2. Ni lini pia alipitishwa airport kupelekwa kwa matibabu. Tukiyajibu haya nadhani tutasonga, kuumwa ni suala la dharula, unaweza kuwa mzima sasa na baadae ukapatwa na ugonjwa.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mei Mosi Tanga, JK mgeni rasmi

    Don't be ignorant of politics, things are now on the other stage bro
  10. F

    JamiiForums Tanzania JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

    Kaka William, ni dhahiri kwamba unaweza ukawa na mtizamo mzuri sana dhidi ya taifa lako. Sina hakika ndani ya CCM kama watakupitisha kwa namna ambayo kuna makundi yanayohasimiana kisiasa ndani ya CCM. Sasa jina lako tu yaani Malechela, linaweza likakuweka katika kundi ambalo pengine nguvu yake...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msimamizi wa uchaguzi Arumeru anastahili

    We need people like Kagenzi! Big up, mzee Mungu akupe maisha marefu kwa kuepuka vurugu ambazo zingeweza kutokea kama haki na sauti ya Wana Arumeru ingepokwa.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Clouds na Matusi ya Lusinde inamaanisha Nini?

    Kama uliwasilkiliza vema walikuwa wakishangilia kwa kubeza na kuonyesha ujinga wa Mh. Lusinde. Lo! aibu yake na aibu yao pia.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Maneno ya mh. Nasari leo asubuhi tbc

    Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Mh. Lusinde kwa kweli hajajidhalilisha yeye mwenyewe tu. Amekidhalilisha chama cha mapinduzi, amemdhalilisha mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mh. Dk Jakaya M. Kikwete, ama kwa hakika mtu huyu hafai kabisa. Jamani naunga mkono hoja sheria ichukue mkondo wake, ama la! hata chama cha mapinduzi...
Back
Top Bottom