Recent content by Fildmashal

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Bilionea Saniniu Laizer auawa kinyama Mererani..Ndugu waja juu

    Sio ndevu 😅😅😅😅
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Msome mtu anaitwa iddy makengo fb utagundua tatizo lako ni dogo
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Bilionea Saniniu Laizer auawa kinyama Mererani..Ndugu waja juu

    Hapa ni kuanza kuziachia tu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akatwa mkono kisa wivu wa kimapenzi

    Madam pole sana ni pigo zito ukizingatia kazi yako ya ualimu bila kiganja.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

    Walitoa kwa ajilia yamsiba sasa wanakudahi ya nini .Wezakuta aliye okotao Kaenda kuokoa uhai wa mwingine.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Fomula za Masikini na Tajiri

    Mkuu umeandika kibabe
  7. F

    JamiiForums Tanzania Saba mbaroni kwa kutorosha Tanzanite ya thamani ya billion 7.2

    Mkuu lile trekta linatoaga udongo kutoka wapi? Miundo mbinu ipo waya nasikia hadi manta na hakuna kutambaa.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    Weka elimu yako wazi .Umesomea nini pia jaribu kusomea udreva acha kukumbatia cheti . Kufa kizembe ni zambi kama zambi zingine.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Askari Magereza posho hawajalipwa, tatizo ni nini?

    Subirini uchaguzi upite
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu gharama za kodi endapo nikiagiza tractor ya kilimo nje ya nchi

    Mku tunaomba bei ya massey 165/290 used
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    1)Je, baba yake anauwezo wakumlea 2 ) Je, Mama yake ana uwezo wa kumlea Usije kuta unatafuta laana bure. Msaidie Leo uwezijua uzeeni akakutunza,Hapo unatengeneza jeshi la baadae.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wenye umri wa miaka 25 mpaka 35 wana stress sana?

    Ni kipindi cha kukaza kamba na kujituma zaid.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Guinness my bia..

    Ntakupa maelekezo ya kuipata
  14. F

    JamiiForums Tanzania Guinness my bia..

    I will buy it for you
  15. F

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuletewa pigo sizo na wageni wako? Weka mkasa wako, yangu hii hapa

    Inaitajika uvumilivu na busara kukaa na mgeni, Hata wewe kuna siku utakuwa mgeni.
Back
Top Bottom