Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,561
- 47,006
Na pia zile bia zisizo na VAT na bidhaa nyingine zilizokua zinauzwa kwenye bar za magereza na polisi wamefuta kwanini?Siku hizi hatuelewi kuna shida gani, askari Magereza huwa wanapokea posho zao tar 15 ya kila mwezi ila hadi ni tar 20 posho bado.
Sasa haieleweki posho hizo watalipwa lini sasa wanaishi kwa matumaini. Lazima tutafute mbinu za kuishi kama tuna tegemea askari magereza tuliowakopesha bidhaa kwenye maduka yetu.