Recent content by fikra za ajabu

  1. fikra za ajabu

    Historia ya hospitali ya rufaa ya mtakatifu Fransisco

    Gharama juu sana,huduma haziko poa,hawataki kuajiri qualified personnel,wao ni mwendo wa cheap labour tu.... No retention mechanisms hata kwa wale wanaoajiriwa....
  2. fikra za ajabu

    Kwanini manesi mnawakata vibaya vitovu watoto vinatokeza?

    Hakuna uhisiano kabisa kati ya ukataji na ukubwa wa kitovu..... Maelezo ya kutosha kabisa yameshatolewa hapo juu
  3. fikra za ajabu

    Tetesi: Startimes kuonesha EPL baada ya siku 11 zijazo

    Jamani mambo yote yapo google,unaona kila mechi unayotaka.... Kwa nn kuwa watumwa wa dstv??? Kwenye laptop yenye vga au hdmi unaconnect na tv basi no problem
  4. fikra za ajabu

    Ukweli mtupu

    Watu wanakwepa majukumu yao....
  5. fikra za ajabu

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Ni iskysoft itube studio mzee unapakua videos from youtube bila tatizo....
  6. fikra za ajabu

    Mungu aitwe mungu.....mi hata sielewi!

    Ukiangalia sehemu ya binadamu kutoka kiunoni kwenda juu, sehemu za mbele nyingi zimefanana na zile za nyuma za kutoka kiunoni kwenda chini Mfano; Kifua(mbele)=matako(kwa nyuma)...yaani vyote vimegawanyika sawasawa. Magoti(kwa mbele)=viwiko vya mikono;(kwa nyuma) Nyingine umalizie wewe mdau
  7. fikra za ajabu

    Msaada kuhusu simu yangu.

    Nasubiri jibu waungwana
  8. fikra za ajabu

    Msaada kuhusu simu yangu.

    Nimeletewa simu aina ya BLU DASH 5+ toka USA Android dual sim card . Nimefanya kila linalowezekana lililo ndani ya upeo wangu kui-set kwenye 3G network naona nimeshindwa. Naomba msaada wenu jamani.
  9. fikra za ajabu

    Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

    Goli aisee
  10. fikra za ajabu

    Haki za madaktari Tanzania

    Kama nimekosea unirekebishe kama ulivyofanya....usiniponde kwa just hii minor error,of course I appreciate for your comment.....naomba kama unajua ujibu kwa ufasaha......post niliiandika usiku sana nilipokuwa nimechooooika na kazi za operation za uzazi za usiku kucha....nikabaki nikitafakari...
  11. fikra za ajabu

    Haki za madaktari Tanzania

    Sorry,ni standing orders wakuu.asante kwa correction
  12. fikra za ajabu

    Haki za madaktari Tanzania

    Kwa wakuu mnaojua miongozo. According to current understanding orders, haki au stahiki za daktari aliyeko kazini ni zipi? Na naweza kuzipata vipi katika maandishi?
  13. fikra za ajabu

    Kuna aina ngapi za HDMI cables

    Nahitaji sana hiyo adapter, naomba unifahamishe nitaipata vp mkuu?
  14. fikra za ajabu

    Kuna aina ngapi za HDMI cables

    Asante sana mkuu kwa kunielewesha,sasa nimeelewa kuwa HDMI cable na display port ni tofauti kabisa,na nimechunguza vzr kwenye laptop yangu nikagumdua kuwa ina displa port tofauti na yule aliyeniuzia laptop alinilisha matango pori kuwa ile ni port ya HDMI......Je, kuna uwezekano wa kuunganisha my...
  15. fikra za ajabu

    Kuna aina ngapi za HDMI cables

    Wakuu mbona kimya!
Back
Top Bottom