Msaada kuhusu simu yangu.

Mar 29, 2015
33
5
Nimeletewa simu aina ya BLU DASH 5+ toka USA Android dual sim card .
Nimefanya kila linalowezekana lililo ndani ya upeo wangu kui-set kwenye 3G network naona nimeshindwa.
Naomba msaada wenu jamani.
 
Back
Top Bottom