Mungu aitwe mungu.....mi hata sielewi!

Mar 29, 2015
33
5
Ukiangalia sehemu ya binadamu kutoka kiunoni kwenda juu, sehemu za mbele nyingi zimefanana na zile za nyuma za kutoka kiunoni kwenda chini
Mfano;
Kifua(mbele)=matako(kwa nyuma)...yaani vyote vimegawanyika sawasawa.
Magoti(kwa mbele)=viwiko vya mikono;(kwa nyuma)
Nyingine umalizie wewe mdau
 
  • Thanks
Reactions: cdc
Back
Top Bottom