Recent content by Fikra Angavu

  1. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Kiswahili kiacheni tu jamani

    Mobile phone ni rununu
  2. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Lipi neno sahihi kati "SAINI na SAHIHI?

    Saini ndiyo neno rasmi.
  3. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya Kiswahili Sanifu

    Tafsiri ya nini...!?
  4. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Kiswahili ni lugha ya ngapi duniani kwa ubora?

    7
  5. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya Kiswahili Sanifu

    Hamna Kamusi ya Kiswahili Mtandaoni wala programu tumizi , ila ipo tovuti ya oxford unayoweza kukuta maneno ya Kiswahili Oxford Dictionaries | Swahili Dictionary
  6. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Zifahamu methali 610 za lugha ya kiswahili

    Safiii saana
  7. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Hizi hali za umilikishi zikoje kwenye kiingereza?

    "This is James's pen" sentensi yenyewe tu haiko sahihi kwa swali unalotaka jibu lake.
  8. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kingereza

    Maana nyingine ya sharubati ni nini..!?
  9. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kingereza

    Laptop inaitwa Tarakilishi Mpakato... Sio kibwebweto mpakato
  10. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Hawala/Ewala

    Ni Hewala... Na siyo ewala Ni hawara... Na siyo hawala
  11. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kingereza

    Biodiversity = Bioanuwai
  12. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kingereza

    Fax = Nukushi au Nukulishi na sio Nakilishi
  13. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Shairi: Hii ya leo kali

    Nina uhakika nina gundu, Haifichiki kama nundu, Wazi wazi bila ukungu, Hii ya leo ni kali, nimechoka paka basi. Nilikua daladalani, Mtoto mzuri pembeni, Anasimu kiganjani, Hii ya leo ni kali, nimechoka paka basi. Nikamuuliza, Dada habari yako, Za huko utokako, Umependeza naomba namba yako...
  14. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Je, Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia kuanzia shule za sekondari mpaka vyuo vikuu? Jadili

    Hapana hakuna busara katika hilo, mimi niseme Ni jambo la Maana sana kwa wanaisimu wetu kuita king'amuzi na na Tarakilishi... Maneno ambayo tungeweza kuyazoea kama tungeongeza matumizi yake. Kutohoa ni njia ya kuongeza misamiati katika lugha na kuna sababu zake lakini pia sio lazima kutohoa...
  15. Fikra Angavu

    JamiiForums Tanzania Je, Kiswahili kitumike kama lugha ya kufundishia kuanzia shule za sekondari mpaka vyuo vikuu? Jadili

    Kitu unachotakiwa kufahamu ni kwamba... Kila lugha ina maneno yake, huwezi kusema eti Trachea kuitwa kongosho ni kitu cha ajabu wakati kongosho ni kitu/kiungo kipo kabla ya kingereza. Kila lugha ina maneno yake na kila lugha ina inawakilisha tamaduni ya eneo husika. Wanafunzi kushindwa...
Back
Top Bottom