Lipi neno sahihi kati "SAINI na SAHIHI?

Sahihi ndio neno rasmi kwa neno signature kwasabab sahihi inatumika kuhakiki ushirika wa mtu fulan usahihi
 
Saini linatokana na neno la kiingereza sign. Hvyo sain ni neno sawa. Sahihi lna maana tofauti kabsa na sain maana saini tumelitohoa.
 
Sahihi ndo kiswahili kabisa saini ni watu tuna-swanglish....lakin maana ni ileile....
Yaan ni kama yule kipa wa zamani wa Arsenal...mpolandi jina lake lina Consonants zinafuatana....wabongo tukalitohoa akaitwa Sh-enz...haha
 
Naomba uniandikie kwa usahihi sentensi hii
Ozil amesaini mkataba wa miaka mitatu.

kwa mujibu wa maelezo yako
 
Naomba uniandikie kwa usahihi sentensi hii
Ozil amesaini mkataba wa miaka mitatu.

kwa mujibu wa maelezo yako
Ozil has signed a three years contract with the Gunners

Au
Ozil and Arsenal have officially agreed to the extension of two years term
Au

Ozil and Arsenal have signed a two years terms
Etc..........
 
Yote ni sawa tu ingawaje kuna tofauti ndogo sana ambayo inajidhihirisha kwenye matumizi. Mfano:

1. Njoo U-saini hapa.
2. Njoo uweke sahihi hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom