Kwa kuangalia replies zote naona jinsi gan watu hamjawahi kupenda na kama mmependa bas hamkupendwa kwa kiasi kilekile. Mbona unatoa kama kweli mnapendana.. sio kama unampenda ila kama mnapendana. Mfano kuna watu wanatoa figo itashindkana pesa ambayo unapata nyingine.
Naskia batch 4 inatoka weekend hii kabla ya j2 wafungue dirisha la kuappeal.. Ila ukweli watu wengi hatujapata mkopo na hatuna hata mia, mimi nna admission UDOM ya Software engineering lakin hata sijaenda chuo make mkopo ukikosa kabisa mambo ya chuo ndo bas tena😢
Unajua sometimes nkisoma comments za hum ndani huwa najiuliza inakuwaje wote wanao-reply wanawaza kitu kimoja...? Hivi hizi data za kubuni mnazitoaga wapi..? Kweli umekaa ukaangalia ukajiridhisha mara BOT ipo chini ya familia moja, mara wanachukua ela muda wowote, mara magufuli ni mkabira mara...
Ahsante sana.. ni kwel haina kipimo maalum cha kufanya diagnosis maana hata huko nje kwa mujibu wa taarifa nnazosoma mtandaoni na YouTube, diagnosis hufanyika kwa phyisical observation na kuuliza maswal kdogo kuhusu historical background coz wanasema ni ugonjwa wa kurithi sometimes. Ila ahsante...
Mimi nilikuwa na tatizo hili tangu utotoni huko nursery nilikuwa napata tabu sana wakati kuandika vidole vinauma na naandika taratibu sana kitu ambacho kimeniathiri kwa namna moja ama nyingine academically ila nilikuwa naambiwa tu nifanye mazoezi ya kuandika basi.
Mpaka saivi nina miaka 24...
Je kuna mtu mwingine mwenye hili tatizo kwa hapa Tanzania? Kwa sababu sijawahi kusikia wala kuona nimeenda hata baadhi ya hospitali kuna madaktari hawalijui hili tatizo. Mimi nimegundua kwa kufanya research online na youtube.
Pia nauliza kama linatibika kwa tanzania maana siwezi kushika pen...
Anasoma kozi gani mpak anapata tabu kiasi hicho make mim nlikuwa nasoma diploma IT ni mzuri wa coding hivo nlikuwa napata pesa kwa kuwafanyia au kuwauzia watu project za final year pia nlikuwa na connections za waajiriwa kweny industry hii so walikuwa wananipa kazi zao niwasaidie na wananilipa...
Ingia hapa .. Hapo naonaga matangazo ya kazi na ya internship pia.. ukishaingia chagua category ya IT & software sometimes kuna had matangazo ya kazi kwa watu wenye 0-1 year experience yaan new graduate ili mradi uweze ku-demonstrate skills zako na performance
Unaweza ukaonesha kuwa unaweza kwa...
Hata kama sote tutafanya biashara ni sawa maana hatuwezi sote kuuza kitu kimoja wewe utauza chakula na mimi ntauza vinywaji au ntauza magari wewe utauza spare za magari hivyo kila mtu atakuwa mteja kwa mwenzake na mfanyabiashara kwa upande mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.