Ni kazi gani (hata vibarua) kijana anaweza fanya kwa siku 10 ili apate walau 500,000 ya tuition fees?

jamaa ana alegy na kubeti , ni bora ni mshauri apige kazi za saidia fundi , au zile za kuchimba mitalo ya barabarani , au ya kulaza mabomba-DAWASA ndo nipo namshauri hapa aangalie manual work zile kazi za kutumia nguvu ,hata kuzibua vyoo , maana dah ndugu zake wameweka ngumu yeye kutokumlipia ada . Dah maisha haya yanachangamoto balaaaa .
Kwa hiyo hizo kazi ulizo zitaja, ndio unataka ukalipwe 50 elfu per day...!!??
.....mbaf kabisa
 
jamaa ana alegy na kubeti , ni bora ni mshauri apige kazi za saidia fundi , au zile za kuchimba mitalo ya barabarani , au ya kulaza mabomba-DAWASA ndo nipo namshauri hapa aangalie manual work zile kazi za kutumia nguvu ,hata kuzibua vyoo , maana dah ndugu zake wameweka ngumu yeye kutokumlipia ada . Dah maisha haya yanachangamoto balaaaa .
Kwanini usikubali tu kuwa ni wewe ili usaidiwe
 
Hahaahaa ila mkuu haya mambo sijui kama yashakukuta boss huwa ni mtihani siyo kawaida aisee
Mkuu, binafsi nilisha kwama mara kadhaa wakati wa mahangaiko ya shuleni hadi chuo sanatu.
Lakini kinacho nishangaza ni kwamba, muomba msaada ametoa maelekezo ya kibarua chochote, na akajipangia kabisa kwa malipo ya 500k in ten days..!!
Hivi, hapo wewe unaona ni sawa kweli..??
Ebu jamani kidogo tuwe serious na pesa, na hata kama ni shida, basi tusitetee ujinga tafadhali
 
Anasoma kozi gani mpak anapata tabu kiasi hicho make mim nlikuwa nasoma diploma IT ni mzuri wa coding hivo nlikuwa napata pesa kwa kuwafanyia au kuwauzia watu project za final year pia nlikuwa na connections za waajiriwa kweny industry hii so walikuwa wananipa kazi zao niwasaidie na wananilipa.. Lakin nisim-judge sana maana sio wote wanaoweza haya
 
kwanza kubali kuwa ni wewe m wenyewe ndo unataka hiyo pesa,solution wapigie simu ndugu zako wakulipie ada acha kusumbua watu hapa.
 
Hey habari wadau, kuna jamaa hapa napokaa naye ghetto anaingia mwaka wa mwisho (3rd year) chuo kikuu.

Sasa anaumiza kichwa hatari ,kuhusu kulipia ada. Nimekuja hapa jukwaani as lengo linavyosema hapo juu. Je, ni kazi gani huko, au vibarua gani anaweza fanya in 10 days ili apate ada ya nusu mwaka?

Msaada wakuu.

Huo ni mshahara mkubwa sana kwa Tanzania.
 
Elimu ina UMUHIMU ZAIDI YA YOTE , NGOJA NIMSHAURI AKOMAE KIUME ILI APATE HELA YA ADA .
Hapo bado hujamshauri kukomaa kiume sio ushauri utakaomsaidia kwake, ushauri utakaomsaidia ni atumie njia gani ili apate hiyo hela ndo kitu anachokitegemea kutoka kwako. Ukiona kakuambia hadi wewe alishakomaa kiume akaona matokeo yanakuja kikike sasa anahitaji njia mbadala
 
Kama siku 10=500,000 kwa mwez =1,500,000
#Hii pesa ndefu ambayo degree program nyingi hata nusu ya hii hawapati kwa mwezi cash (Take home)

USHAURI
Kama atafanikiwa kupata kazi ya siku kumi kwa laki tano aache na chuo kabsa apige mzigo itakuwa more beneficial kwake kuliko kusoma na kusubir kuajiriwa Kama degree holder.
 
Aandike proposal kwenye kammpuni yoyote kwenda kwa Marketing Manager kuhusu kuwafanyia marketing ya bidhaa yao mwezi mzima, Dsm mzima mtaa kwa mtaa kwenye mkusanyiko #Ashtag kuwafata wateja walipo..project nzima aandike bajeti yake na Pesa ya malipo awaambie waweke mezani 3000,000/= tu.


Then alete mrejesho hapa.
 
Wazo lililonijia baada ya mmoja kutoa ushauri wa kusomba taka ni hili
Biashara ya kuuza maji kwenye mkokoteni sehemu ambazo zina changamoto za upatikanaji wa maji

Achunguze sehemu gani anaweza kuuza, mtaji wa mkokoteni na madumu kama yeye ni mwanachuo kweli asije kuuliza hapa, Jinsi ya kuanza na wateja ni kwenye migahawa, magereji na baadhi ya bar, wateja wa mwisho wasiokuwa na umuhimu ni wa majumbani.
Afanye kautafiti maji wananunua bei gani kwa eneo la karibu na wanauza bei gani. Ni biashara inayodharaurika lakini inapesa nzuri. Atafute wateja kwa kupunguza shilingi 50, kama wenzake wanauza dumu shilingi 400 yeye dumu shilingi 350 ili apate wateja wengi baada ya siku kadhaa awaambie kuna mabadiliko ya bei kutokana na gharama anaponunulia. Hapo atakuwa kapata wateja wengi na hawawezi kukimbia. Juhudi yake ndiyo uwingi wa kupata fedha
 
Hey habari wadau, kuna jamaa hapa napokaa naye ghetto anaingia mwaka wa mwisho (3rd year) chuo kikuu.

Sasa anaumiza kichwa hatari ,kuhusu kulipia ada. Nimekuja hapa jukwaani as lengo linavyosema hapo juu. Je, ni kazi gani huko, au vibarua gani anaweza fanya in 10 days ili apate ada ya nusu mwaka?

Msaada wakuu.
Duh
Kazi ya laki 5 kwa siku 10 huyo labda awe expert kwelikweli, Kwa mfano angekuwa ni expert wa maswala ya Eletronics na Kuziprogram microcontroller ningemwelekeza kwenye kampuni fulani wangemlipa hata elfu 80 kwa mwezi

hakuna kazi ya 50k per day kama sio expert walau kidogo na ukiachllia hapo apate bahati ya kukuta mahali wanamuhitaji tofauti na hapo yeye ndie mwenye shida so itamuwia vigumu. Mwambie auze vitu vyake vya thamani
 
Ajifunze kuwa risk taker na roho ngumu nimpe mchongo wa kuuza bangi kwenye night club usiku, ananunua kisado cha bangi sh 45000 na rizla moja sh 500.kisado kimoja cha bangi anaweza kunyonga ganja misokoto 150-200 na kisha msokoto mmoja atauza 1000.akienda club zilizochangamka mzigo wote unaisha ndani ya siku moja.Atapiga hesabu mwenyewe kuona faida ni kiasi gani.ONLY FOR RISK TAKER NOT FOR EVERY ONE.
 
Back
Top Bottom