Jamani vipi kuhusu hizi batch za HESLB

Billy philip

Member
Oct 24, 2019
15
8
Nimeona jana kwenye habari kiongozi wa HESLB akisema tayari ametoa mikopo kwa wanafunzi zaid ya 45 elfu, na kundi lililobakia kupewa ni dogo sana hasa kwa wale ambao ndiyo wanafanya marekebisho ya dosari zao.

Sasa swali ni kwamba inakuwaje kwa mtu ambaye tangu first batch anaandikiwa "complete verified, you have not secured loan analysis on progress" na bado hapewi jibu kama kakosa mazima ili ajue la kufanya.

Maana status kama inabadilika kila wakitoa batch kwa nini isiwe "you're not a poor student so you can't secure loan from HESLB" kuliko kila batch ikitoka unakuta vumbi.
 
Write your reply...dah kushirikiana na ok l llll imeamuaxxsxs kutunyonga kabisa watoto wa m tuliouzam mmmmashamba mwaaka jana tukajilipia.mk mwaka huu cha ajqbu tanzania nzima ajapata ata continuas mmojakl

ajapata ata mmoja tafsiri yake kuwa wote continuas him watoto wa matajiri jaman kweli hii ll ya wanyomknge au serikali ya wanyongaji badru mungu anakuona machozi yetu utayalipa eli mngetuambia tusijisumbue kuomba ilokm dirisha la apply mtoe tamko continuas wasijisumbue akuna lmaajabu ni bora uhairishe mwakah tu kuliko kuenda kuteseka na miogo wawape mikopo watoto wa ndugu zao pia wawasaidie na kuilipa
 
Write your reply...nimeandika hlo text kwa ljazba na kutumia simu bovu naichukia serikali ya tanzania kiukweli
 
eti you are not poor student, pole sana kwa changamoto boss. Jipe moyo naskia imebaki batch 1 kisha itabidi kukata rufaa. Kipindi cha JK mambo hayakuwa complicated kiasi hiki
 
Write your reply...dah kushirikiana na ok l llll imeamuaxxsxs kutunyonga kabisa watoto wa m tuliouzam mmmmashamba mwaaka jana tukajilipia.mk mwaka huu cha ajqbu tanzania nzima ajapata ata continuas mmojakl

ajapata ata mmoja tafsiri yake kuwa wote continuas him watoto wa matajiri jaman kweli hii ll ya wanyomknge au serikali ya wanyongaji badru mungu anakuona machozi yetu utayalipa eli mngetuambia tusijisumbue kuomba ilokm dirisha la apply mtoe tamko continuas wasijisumbue akuna lmaajabu ni bora uhairishe mwakah tu kuliko kuenda kuteseka na miogo wawape mikopo watoto wa ndugu zao pia wawasaidie na kuilipa
Shida iko hapa Yani continuous wote hakuna aliyepata looooh
 
Naskia batch 4 inatoka weekend hii kabla ya j2 wafungue dirisha la kuappeal.. Ila ukweli watu wengi hatujapata mkopo na hatuna hata mia, mimi nna admission UDOM ya Software engineering lakin hata sijaenda chuo make mkopo ukikosa kabisa mambo ya chuo ndo bas tena😢
 
Duuh!!! Mkuu subiri labda unaweza ukapata kwa hiyo batch iliyobaki
 
Back
Top Bottom