Daahhh, mkuu hapa ndio panaponitoa machozi nikikaa mwenyewe, siku zote nimekuwa nikimwomba Mungu mwanangu/wanangu wasipitie channel niliyopitia mimi, but naona jinsi shetani anavyoleta majaribu, hili jaribu ni zito sana kwangu, she came as an angel but I think I was deceived, I know nitalisolve...