Recent content by ffn

  1. ffn

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kifaa hiki cha kuulia wadudu kwa Dar?

    Nenda Game (Mlimani City) vipo tena kwa bei ya ofa kwa sasa. Ukiwa mjini (Posta) nenda Tronic
  2. ffn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Pumzika kwa amani Elias [emoji120]
  3. ffn

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufunguliwa Dashbord kuna vitu havifanyi kazi

    Nissan wana wakala wao kila mkoa.. jaribu kuwasiliana na mawakala (authorized) wanaweza kukusaidia pia, ila jiandae maana wana bei sana kufanya marekebisho
  4. ffn

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

    Wewe unayejua mijadala umewahi kualikwa BBC au Washington?
  5. ffn

    JamiiForums Tanzania Marekani yajiondoa kwenye mkataba wa silaha

    Warusi wana uhusuano wa karibu na nchi zilizoizunguka marekani kama Cuba na Venezuela.. hivyo wamarekani hawapo salama sana
  6. ffn

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

    Kwa wale tunaopenda kufatilia ubishi naomba tuendelee ku-enjoy
  7. ffn

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kuchimba mchanga mtoni Bondeni, Mbezi beach darajani ni sawa?

    Mkuu cheki hizo picha mto haujachafuka wala kujaa mchanga katikati, wanaharibu kingo tuu..ila wameacha baada ya kelele za wananchi nasikia mkuu wa wilaya alifika eneo la tukio!
  8. ffn

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kuchimba mchanga mtoni Bondeni, Mbezi beach darajani ni sawa?

    Huwezi kuamini wenyewe wanachukua mchanga huku wakiwa wanatetemeka 🤣 Wanajeshi wetu bana bora wakae tuu huko makambini wafiche madhaifu yao
  9. ffn

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kuchimba mchanga mtoni Bondeni, Mbezi beach darajani ni sawa?

    Gavana ni nani mkuu [emoji3] au wa benki kuu! Maana hapa bongo hatunaga magavana
  10. ffn

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kuchimba mchanga mtoni Bondeni, Mbezi beach darajani ni sawa?

    Hivi karibuni kuna malori makubwa ya mchanga na excavators zilizoingizwa mtoni kupitia kawe (karibu na kanisa la wasabato) na kuendelea kuchimba mchanga kwenye eneo mbele kidogo ya daraja la bondeni kwa kivuli cha kupanua mto lakini lengo lao kuu likiwa ni kuchukua rasilimali ya mchanga ambao...
  11. ffn

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Hark saw ridge You may not kiss the bride
  12. ffn

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Million ways to die in the West The Wedding ringer
  13. ffn

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Member wa kiume aliyewahi nivutia kimapenzi kutoka JamiiForums!

    [emoji28][emoji28][emoji28]
  14. ffn

    JamiiForums Tanzania Leo Mei 9 kazaliwa Maxence Melo, tumtakie maisha marefu

    Happy birthday Maxence Melo
  15. ffn

    JamiiForums Tanzania Misemo kutokana na Vichwa vya Treni

    Teh teh
Back
Top Bottom