Recent content by festo james

  1. festo james

    Waziri Jaffo (TAMISEMI) aagiza kila Mkuu wa Mkoa kujenga viwanda vipya 100

    Labda sisi ndo hatujapewa uelewa zaidi hasa kuhusu tanzania ya viwanda maana neno kiwanda inamtazamo mpana zaidi mi nazani kiwanda lina maana ya uzalishashaji na zaidi haikuelezewa zaidi ni uzalishaji au kiwanda chenye ukubwa kiasi gani maana ukisema ndani ya muda mfupi kiasi hicho uwe...
  2. festo james

    Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

    Pia ukimaliza hilo naomba unijuze monalisa alikuwa ni nani aliyezungumziwa Na huyu da Vinci code
  3. festo james

    Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

    Mkuuu nimefuatilia thread zote Na nimeingiza vitu kichwani nilivyokuwa sivifahamu pia naomba unieleweshe kuhusu mnara wa Babel zumuni lake inasemekana ndo chanzo cha luga zilipoanzia je ni kweli Na kama ni hivyo vipi kuhusu hilo ulilosema kuwa walijenga kwa ajili ya kuhofia mafuliko kujitokeza...
  4. festo james

    Kama anafanya hivi, na anatarajia kugombea 2020, akishinda itakuwaje, akiwa hataraji kugombea tena?

    Jifunze namna ya kuondoa hilo wingu zito lilotanda ndani ya 3D yako Hizi ni mbio za vujiti (most covered is drama and make you to be blinded)
  5. festo james

    Kama anafanya hivi, na anatarajia kugombea 2020, akishinda itakuwaje, akiwa hataraji kugombea tena?

    Kwa mwenye mtazamo yakinifu ni zahri kabisa kuwa italeta tabu 2020 but wanyama wameshatiwa hofu kiasi kikubwa Na pia dictatorship democracy it's still waving among of us. Pa kukimbilia hakuna so that Sheria wameiweka chini ya nyayo za miguuu yao ,,,,,,,picha acha iendeleee tuuu
  6. festo james

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Nashukuru kwa kuniongeza maarifa kichwani ngoja nichimbue material, hii dunia hatuijui kama ilivyo kabisa, then I'll back with feedback
  7. festo james

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Kweli kila taifa Lina mhimili wake aseee sikuweza kuzani kama taifa kubwa kama lile zinaweza kutegemea MTU mmoja tuuu au grupu la watu wachache
  8. festo james

    Mnyama Mkubwa Zaidi Aliyewahi Kuishi Duniani aligundulika Tanzania mkoa wa Lindi

    Waaafrika walio wengi ni watu wa kuitikia tuuu Na kuabudu iman za wazungu ndo maaana tunapelekwa pelekwa tuuu hata uwezo wa kufikili tunatgemea wazungu waboost pale fikra zilipoishia hatujiwezi kwa chochote
  9. festo james

  10. festo james

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Tuleteeni mambo yaliyoko jikoni hapa tunasubili kwa hamu kubwa sana.inaweza kufungua mawazo ya walio wengi Na kuwapa mind stability katika kuchukua maamuzi
  11. festo james

    Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Kannada inaonekana umechimbua kiasi pia hebu tulekebishe kulingana na ulivyo chimbua huyu mansa kankani yuko vip coz wengine hatumfahamu vizuli
  12. festo james

    Alama ya Apple, hii ina maana gani?

    Mi nnaona hakuna sababu ya kupanik Ni kuelimishana Maana baazi hatujui chochote tunahitaji kujifunza kupitia mnaojua
  13. festo james

    Radio Station name

    Nivema ukaiita Mfano; !) Moro best !!) Moro raha fm !!!) Moro habari !!!) Moro city !!!!) habari fm Fanya alternative kamanda
  14. festo james

    Radio Station name

    Uko mkoa gani?
Back
Top Bottom