Recent content by Fernando Wolle

  1. Fernando Wolle

    Serikali inakosea sana kuwatenganisha Kikazi Wanandoa

    Pole sana. Kuna kisa kimoja mwanaume ndani ya ndoa ndio alikutwa na HIV walikuwa majirani zangu kipindi hicho. Mwanamke akamtema akaolewa kwengine.
  2. Fernando Wolle

    Ni kweli ukimtumikia shetani anakupa mali?

    Hapa duniani Kuna vitu viwili tu ukivitegemea ni lazima utoboe. Lazima vikupe mafanikio makubwa . Ni MUMGU na SHETANI tu. Sharti moja tu usichanganye. Chagua kimoja na ukitii kwa 100%.
  3. Fernando Wolle

    Niliyoyagundua baada ya kuwatembelea wagonjwa Muhimbili

    Kwa kiwango Cha Umaskini kilichopo TZ na ughali wa huduma za Matibabu mtu ukiumwa ugonjwa unaohitaji tiba za gharama ujue hiyo ni Death Ticket. Mungu aingilie kati kutuweka salama.
  4. Fernando Wolle

    Nina mtaji wa Tsh Milioni 20, nataka kufanya biashara ya ng'ombe

    Nunua mbuzi wa elfu stini stini utapata zaidi ya mbuzi mia tatu peleka Comoro. Lakini Fanya utafiti kwanza ila ukifanikiwa kupeka mara tatu tu wewe ni tajiri.
  5. Fernando Wolle

    Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

    Ongea kitu kingine Dar ni moto wa kuotea mbali kabisa. Huko mikoa mingine mkifika hatua ya kutupa manyoya tu katika maandalizi ya kuuza kitoweo kuku basi mtaipiku Dar. Dar Kila biashara safi, hata kama kazi yako kuuza vichwa vya kuku au kukaanga utumbo wa broiler unaishi na unalipa kodi fresh.
  6. Fernando Wolle

    Watu wote wanaoishi maeneo ya mbali pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam kimsingi ni kama wako mikoani tu

    Anaeishi Kijiji Cha mkoa wa DAR, anaweza kwenda town kati ndani ya lisaa limoja na akarudi muda huo huo. Akiumwa kwenda kulazwa hospitali ya Taifa ni ndani ya nusu saa. Kwahiyo Dar bado itaendelea kuwa Dar huwezi fananisha na mikoani.
  7. Fernando Wolle

    Makonda: Viongozi mkishastaafu tulieni mlee familia zenu, acheni kuongea ongea

    Hiyo ndo imemfanya aingie kwenye uenezi Sasa unataka afiche iweje.
  8. Fernando Wolle

    Haunted houses zipo, chukua hatua

    Ushamba tu wa waswahili [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Fernando Wolle

    Umewahi kuua mtu?

    Huyo dogo genius alikutetemesha na ndevu zako [emoji23][emoji23][emoji23] good sana dogo
  10. Fernando Wolle

    Naungana na Paul Makonda "Tanzania Hakuna Upinzani, Kuna Watoa Taarifa"

    Wana ccm wanawazoom tu na kugonga cheers baada ya kufanikiwa Katika Agenda divergence. Mnaluvyagizwa halafu mnajiita upinzani [emoji851][emoji851][emoji851] hovyo! Hakuna Upinzani Tanzania msiwapotezee Watanzania time yao. Labda kije Chama kingine, sio hivi vikundi vya Watoa taarifa.
  11. Fernando Wolle

    Naungana na Paul Makonda "Tanzania Hakuna Upinzani, Kuna Watoa Taarifa"

    Kwahiyo Kuna 1. Vijana wa Hovyo 2. Halafu wanaoongoza nchi pasina kuhitaji nguvu nyingi kutokana na akili ndogo za sisi Watanzania 3. Na Kuna The greatest Thinkers, With the highest capacity of thinking (Ndio umo kwenye hili kundi la tatu) Nikuulize Swali ndugu Great Thinker. Wewe umefanya Nini...
  12. Fernando Wolle

    Naungana na Paul Makonda "Tanzania Hakuna Upinzani, Kuna Watoa Taarifa"

    Mapokezi ya Mh. comrade Paul Makonda yameibua mijadala mbalimbali hapa Bongo. Huku wengine Wakimponda na wengine kumsifia. Binafsi naungana na Makonda hasa kwenye Kauli yake ya kwamba Tanzania hakuna Upinzani Kuna Watoa Taarifa tu. Ukitaka kujua Upinzani Tanzania hakuna, chunguza tu mijadala...
Back
Top Bottom