Recent content by ferari vogu

  1. F

    Mahesabu makali ya Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Aliye kuambia ni yupi? A
  2. F

    Nimeomba huduma Tanesco na hili ndio jibu nililopewa

    Na wkk ya 3 sasa nguzo imeangukia bati
  3. F

    Wizara ya Viwanda na Biashara inapaswa kuongozwa na mtu mbunifu kama January Makamba hivi, TRA iongozwe na mtu kutoka ndani

    Kijana yupo vizuri shida huwa hawasikilizwi wanachokisema sijajua tatizo siku wakianza kusikilizwa inawezekana tutafika tunapo pataka
  4. F

    Mhitimu wa degree ya sheria auza mihogo baada ya kukosa ajira

    Ni bonge la mvivu aisee ! Ngoja awe tangazo la biashara hapa mjini .
  5. F

    Safari za Rais John Magufuli nje ya nchi tangu aingie madarakani 2015

    Hivi hapa watu wanapenda nini? Nafikiri ukiweka kichwa cha habari lowasa au mbatia kuna watu wataongea mpaka wasivyo vijua na watakuja na ushahidi wa uongo kweli ! Na wengine watasema weka picha. Watanzania tumelogwa na aliye turoga yupo meru anatengeneza viroba
  6. F

    Magufuli azomewa tena. Ni Bunju, Boko, Tegeta na Mbezi

    Yaan kuna watu wazima ni waongo !! Tukutane jt3 hapa
Back
Top Bottom