Wizara ya Viwanda na Biashara inapaswa kuongozwa na mtu mbunifu kama January Makamba hivi, TRA iongozwe na mtu kutoka ndani

Wakati wa vikao vya Bunge mwezi April, Godbless Lema alisema Waziri wa Viwanda na Biashara aliyetimuliwa juzi na Rais Magufuli Bwan.Kakunda hakuwa na uwezo wa kuongoza Wizara hiyo wala kuleta mwekezaji yoyote mkubwa kwa maana hata suti zake zilikuwa kama za mwanakijiji vile - hakuwa akijua kuvaa, hakuonekana kuwa ni "Mtu wa Biashara".

Sasa mimi nafikiri Rais Magufuli bado anakosea - bado anateua "wanakijiji" kuongoza Wizara hiyo ambayo ndo ilipaswa kuwa "marquee ministry" kwenye Utawala wake kwa sababu anatamani kuyafikia "Mapinduzi ya Viwanda", kitu ambacho si ndoto kukifikia kama akiota usiku badala ya kuota mchana kama ilivyo sasa...I mean, akisikiliza ushauri na kupanga safu yake vema atafanikiwa kutuongoza kuyafikia Mapinduzi ya Viwanda ikiwa Wizara hiyo atampa mtu ambaye akili yake ni njema na inafanya kazi sawasawa kama January Makamba hivi - mtu ambaye ni "outward" looking, outgoing, na mbunifu!

Mawaziri aina ya akina Kakunda na Kabudi kwa mfano, ambaye akisimama kuongea anaanza kusimulia habari za Wakoloni na TANU hawawezi kuwa na mchango wowote kwenye Vision ya Rais ya kujenga Uchumi wa Viwanda kwa sababu wana mawazo mgando...akisimama kuzungumza hata mbele ya Rais yeye huanza kupiga simulizi za Mabeberu, Vita vya Majimaji ,Vita Baridi na Ukomunisti wakati dunia ilishaondoka huko - Mtu kama Kabudi anaamini nchi kama Yugoslavia na Umoja wa Sovieti bado zipo hadi leo na anaamini pia Umoja wa Nchi zisizofungamana na Upande wowote(NAM) bado unaexist. Tunahitaji cabinet ministers wenye uwezo wa kuiona dunia kama ilivyo leo, dunia ya mahusiano mazuri ya biashara na uwekezaji, siyo dunia ya nyakati za Vita Baridi - tulikwishatoka huko!

Ushauri mwingine kwa Rais Magufuli ni aina ya watu anaowateua kuongoza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA). TRA ni taasisi kubwa sana na ngumu kuiongoza - it is too huge and complex - ni ngumu sana kwa mtu anayeteuliwa kutokea nje kumudu kuiongoza kwa sababu anahitaji si chini ya miaka 5 hadi 10 kuifahamu - chini ya hapo hawezi kuelewa chochote wala kufanya mabadiliko yoyote yaliyo na tija zaidi ya kufanya vurugu tu za kuhamisha watu, kusimamisha kazi maofisa walio chini yake, kuwademote wengine na kuunda vikundi vya majungu....na ndiyo maana hadi sasa watu anaowateua kutokea nje wamekwishafika watano katika kipindi kifupi cha uongozi wake wakati Mkapa na JK walikaa na Comissioner General Harry Kitilya kwa karibu vipindi vyote vya Uongozi wao - yeye keshawajaribu akina Dr.Mpango, Maswi, Kidata, Kichere na sasa Mhede - CGs watano ndani ya miaka 3, a complete joke!

Wote hao anaona hawakufanya kazi aliyokusudia waifanye - lakini sababu ya wazi iliyokwamisha utendaji wao ni kwamba hawa ni technocrats tu and not career taxmen - Harry Kitilya aliweza kwa sababu ilikuwa ndo taaluma yake na hakutaka kuingiliwa na wanasiasa - alikuwa na uwezo wa kumgomea hata Rais akitaka afanye mambo yasiyoendana na taaluma ya ukusanyaji kodi/mapato!

Kwa hiyo ushauri ni kwamba Rais ateue Kamishna General kutokea ndani ya TRA, senior officers waliokaa mle miaka at least 10 hadi 15 ndo atafanikiwa - hii kuchukua watu kutoka huku na huko na kuwatupa kuongoza TRA ni kutwanga maji kwenye kinu!

Ushauri huu ni wa Bure, haulipiwi!
Kijana yupo vizuri shida huwa hawasikilizwi wanachokisema sijajua tatizo siku wakianza kusikilizwa inawezekana tutafika tunapo pataka
 
Harry Kitlya mpaka anaondoka kiwango cha juu cha makusanyo yake ilikua fedha kiasi gani?
Kuhusu Makamba naona unampigia chapuo, wizara ya mazingira ka fit Sana, hapo panamtosha.
 
Atabadilisha mawaziri na watendaji mpaka achoke ,kama hajagundua tatizo ni yeye mwenyewe ,mwaka wa nne madarakani bado unabadilisha mawaziri tu ,kazi ipo.
 
Ikabidhiwe kwa expert. Akiwa chini ya uangalizi maalumu. Awafundishe walio chini yake kwa muda ili wakiondoka aendeleze. Wazawa inaonekana wanashindwa kila mara wanapopata nafasi
hauko serious
ukabidhi revenue authority ya nchi kwa foreigner???
 
January amewahi kubuni nini kwa mfano?!
mkuu, ivi januari kuna ubunifu gani ambao ametuonesha kwenye utendaji wake kama waziri? nisaidie kidogo.......
umenichekesha sana kwenye kabudi na historia zake za tanu na biblia .....
Wewe January Makamba stress zitakuuwa, fanya kazi uliyopewa, na siyo kuona unastahili sana kuliko watu wengine, kwa mfano ulisha wahi kubuni nini ulikopita kote ukiondoa kufacilitate bao la mkono ulilofaulu kwa asilimia zote
Hahahahaha...

Kwanini wana CCM wenzangu mlioajiliwa ili kukitumikia chama mtandaoni mnamchukia sana January Makamba..
 
Hahaha ndio maana hatuendelei,mkiisha mfahamu mtu mnataka afanye kila kitu, huyo Makamba kabuni nini so far, program anazokopy nchi zingine mnasema mbubifu!
Mwisho mtasema awe rais.
Hahahahaha, kwani huwa hawasemi anafaa kuwa Rais?Au unaishi Paraguay?
 
JANUARY MAKAMBA awe waziri kamili naibu waziri ampe BASHE alafu katibu mkuu wa wizara ampe JOHN NCHIMBI yule jamaa alishinda kura za maoni kule songea alafu magufuli akamfyekelea chini kwa sasa ni HR wa NDC . Combination ya hawa jamaa wizara itasimama.
Unaota ndugu au umepitiwa?JPM alimfyeka?Una uhakika?Sifa zilitosha?Hakutoa rushwa?

Kati ya Ndumbaro na huyo John katika misingi ya haki na usawa unadhani John angeshinda?

Ukawaulize watu wa Lizaboni,Msamala,Matogoro,Mahenge,Mateka,Matarawe,Bombambili,Mfaranyaki,Mshengano,Chandalua,Mkuzo n.k watakupa ukweli wa hali halisi.

Acha kumsingizia Mwenyekiti wa Chama Taifa bali misingi ya uchaguzi haikuzingatiwa na aliyekatwa kama unavyodhani.

Karibu,nipo Jambolee nakula chips na kuku wa kisasa Halafu baadae napitia Mtini/Yapenda kwenda kumalizia ungwe La-Charlz baa na Vijana Pub.

Kesho asubuhi naishi Lisimonji kukusanya mahindi kuwaletea nyie msiolima kazi kuota ndoto za mchana kama hizi.

Hahahahah,watu weweeeeeee,dadadeki walahi.
 
Ushauri mzuri sana huu hasa kupengele cha TRA. Kimsingi ukipata mtu from within anakuwa na uelewa mpana sana kwenye masuala ya ndani. Kuna kosa linafanyika sana ambapo wanachukuliwa watu (outsiders) na kuwekwa kwenye vitengo fulani fulani. Muda mwingi unapotea akiwa bado "anajiunza" kazi. Wakati ukimchukua "mwenyeji" anaenda moja kwa moja kwenye majukumu.
Mhe. Rais amejaza sana maProf na maDr kutoka universities. Hawa wateule wengi wao ni waoga kufanya maamuzi na wako very theoretical.
Mhe. Rais achukue watu kutoka ndani sio outsiders.
 
Kijana wakati ana 40+? Kama angepata mtoto akiwa na miaka 20 na mtoto wake apate leo hii angeitwa babu. Yeye sio kijana tena bali ni mtu mzima japo sio mzee.
Aache shape halisi aliotunukiwa na Mungu
 
Harry Kitlya mpaka anaondoka kiwango cha juu cha makusanyo yake ilikua fedha kiasi gani?
Kuhusu Makamba naona unampigia chapuo, wizara ya mazingira ka fit Sana, hapo panamtosha.
Time Value of Money....sijui kama utaelewa!

Bilioni 600, 700 au 800 za wakati wa Kitilya zaweza kuwa na thamani maradufu ya Trilioni 1.3 za Magufuli za sasa, tatizo shule mnaenda halafu hamfundishiki na wala hamwelimiki!
 
Wakati wa vikao vya Bunge mwezi April, Godbless Lema alisema Waziri wa Viwanda na Biashara aliyetimuliwa juzi na Rais Magufuli Bwan.Kakunda hakuwa na uwezo wa kuongoza Wizara hiyo wala kuleta mwekezaji yoyote mkubwa kwa maana hata suti zake zilikuwa kama za mwanakijiji vile - hakuwa akijua kuvaa, hakuonekana kuwa ni "Mtu wa Biashara".

Sasa mimi nafikiri Rais Magufuli bado anakosea - bado anateua "wanakijiji" kuongoza Wizara hiyo ambayo ndo ilipaswa kuwa "marquee ministry" kwenye Utawala wake kwa sababu anatamani kuyafikia "Mapinduzi ya Viwanda", kitu ambacho si ndoto kukifikia kama akiota usiku badala ya kuota mchana kama ilivyo sasa...I mean, akisikiliza ushauri na kupanga safu yake vema atafanikiwa kutuongoza kuyafikia Mapinduzi ya Viwanda ikiwa Wizara hiyo atampa mtu ambaye akili yake ni njema na inafanya kazi sawasawa kama January Makamba hivi - mtu ambaye ni "outward" looking, outgoing, na mbunifu!

Mawaziri aina ya akina Kakunda na Kabudi kwa mfano, ambaye akisimama kuongea anaanza kusimulia habari za Wakoloni na TANU hawawezi kuwa na mchango wowote kwenye Vision ya Rais ya kujenga Uchumi wa Viwanda kwa sababu wana mawazo mgando...akisimama kuzungumza hata mbele ya Rais yeye huanza kupiga simulizi za Mabeberu, Vita vya Majimaji ,Vita Baridi na Ukomunisti wakati dunia ilishaondoka huko - Mtu kama Kabudi anaamini nchi kama Yugoslavia na Umoja wa Sovieti bado zipo hadi leo na anaamini pia Umoja wa Nchi zisizofungamana na Upande wowote(NAM) bado unaexist. Tunahitaji cabinet ministers wenye uwezo wa kuiona dunia kama ilivyo leo, dunia ya mahusiano mazuri ya biashara na uwekezaji, siyo dunia ya nyakati za Vita Baridi - tulikwishatoka huko!

Ushauri mwingine kwa Rais Magufuli ni aina ya watu anaowateua kuongoza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA). TRA ni taasisi kubwa sana na ngumu kuiongoza - it is too huge and complex - ni ngumu sana kwa mtu anayeteuliwa kutokea nje kumudu kuiongoza kwa sababu anahitaji si chini ya miaka 5 hadi 10 kuifahamu - chini ya hapo hawezi kuelewa chochote wala kufanya mabadiliko yoyote yaliyo na tija zaidi ya kufanya vurugu tu za kuhamisha watu, kusimamisha kazi maofisa walio chini yake, kuwademote wengine na kuunda vikundi vya majungu....na ndiyo maana hadi sasa watu anaowateua kutokea nje wamekwishafika watano katika kipindi kifupi cha uongozi wake wakati Mkapa na JK walikaa na Comissioner General Harry Kitilya kwa karibu vipindi vyote vya Uongozi wao - yeye keshawajaribu akina Dr.Mpango, Maswi, Kidata, Kichere na sasa Mhede - CGs watano ndani ya miaka 3, a complete joke!

Wote hao anaona hawakufanya kazi aliyokusudia waifanye - lakini sababu ya wazi iliyokwamisha utendaji wao ni kwamba hawa ni technocrats tu and not career taxmen - Harry Kitilya aliweza kwa sababu ilikuwa ndo taaluma yake na hakutaka kuingiliwa na wanasiasa - alikuwa na uwezo wa kumgomea hata Rais akitaka afanye mambo yasiyoendana na taaluma ya ukusanyaji kodi/mapato!

Kwa hiyo ushauri ni kwamba Rais ateue Kamishna General kutokea ndani ya TRA, senior officers waliokaa mle miaka at least 10 hadi 15 ndo atafanikiwa - hii kuchukua watu kutoka huku na huko na kuwatupa kuongoza TRA ni kutwanga maji kwenye kinu!

Ushauri huu ni wa Bure, haulipiwi!

Ni kwanini wasiweke mfanyabiashara badala ya blaa blaa za wanasiasa
 
UMEANDIKA VYEMA LAKINI YEYE NI MR MUCH KNOW anajua kila jambo, akimwapisha mtu anamchimba mkwara akidhani mikwara inasaidia. yaani miaka minne DG watano hapo nani kafeli sasa?
 
Back
Top Bottom