Recent content by feraday10

  1. feraday10

    Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

    Watu wanaojiajiri kwa kawaida huwa wanauwezo mkubwa wa kifikra na kupambanua mambo mbali mbali, ikiwemo kivipi aikuze biashara yake aibrand na apate faida na asipate asala, tofauti na watu walioajiriwa mara nyingi kuuchemsha ubongo wake huwa ni mtihani, na mara nyingi watu hawa hata...
  2. feraday10

    Nini kinaendelea kati ya viongozi wa Simba na Manara?

    Babra mbona alikuwepo kwa niaba ya body ya wakurugenzi hadi TV katunzwa na moo dewji
  3. feraday10

    Je, umewahi kuachana ndani ya muda mfupi na mpenzi wako mliyependana sana?

    Moja kwa moja niende katika mada Maisha ni safari ndefu sana na wengne hupenda kusema maisha ni mzunguuko, kila mtu husema lake kulingana na sababu zake. Katika mizunguuko yangu kipindi hicho nasoma Mchikichini Tuition kwa mbuga nilikutana na Mwanamke mzuri sana ya kiarabu ‘Mtoto’ alinielewa...
  4. feraday10

    Biashara ya kuuza genge

    Okay apo nishakupata
  5. feraday10

    Biashara ya kuuza genge

    Dar es salam
  6. feraday10

    Mliobahatika kupata kazi bila hata interview mtupe siri

    CV zako zikiwa nzito sana basi utapita bila kupingwa
  7. feraday10

    Biashara ya kuuza genge

    Kivipi mkuu nieleweshe vizuri
  8. feraday10

    Biashara ya kuuza genge

    Nimepata eneo la uswahilini movement ya watu ipo i think wateja nao watakuwepo
  9. feraday10

    Biashara ya kuuza genge

    Kweli kabisa
  10. feraday10

    Biashara ya kuuza genge

    Mtaji wa laki sita vp mkuu
  11. feraday10

    Darasa la Saba wa Zamani ni sawa na Kidato cha Sita wa sasa?

    Uyo mwanafunzi wa darasa la saba anaweza solve ata Newton's law problem ya form five
  12. feraday10

    Secondary Leaving Certificates'; je kuna utaratibu mpya wa kuipata miaka ya sasa hivi?

    School leaving certificate kwasasa havitoki shule kama miaka ya nyuma maana mtu anaweza pewa kiujanjaujanja japokuwa hakina msaada mkubwa huko mbeleni. Kwasasa lazima vipitie wilayani then madogo ndyo waje wachukue Nakuhusu primary nao utaratibu umebadilika navyo sio shule tena kama zamani...
  13. feraday10

    Elimu ya Darasa la Nane (middle school) enzi za mkoloni Muingereza

    It true b'cause they've good mental capacity
Back
Top Bottom