Recent content by Fentu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mshahara umeshatoka wanaodai na kudaiwa njooni hapa

  2. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Aghudhubillahi Min'nashaitwani Rajiim. In'na Lillahi wa In'nailayhi Rajiuna!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wadau dua zenu nipo safarini

    AWW days JJ nook or t our n ushered
  4. F

    JamiiForums Tanzania Katuni niliyoipenda: Chama kimoja, tune moja ila uchezaji tofauti

    Burudaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaani
  5. F

    JamiiForums Tanzania Zitto Anataka kusema nini?

    Naona mnaaleji na zito nini
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa amani DIT- Dar es Salaam Institute of Technology. june 2 2014

    Jamani!!! Haihitaji uprofesa waruhusiwe wafanye mitihani kisha wataangaliwa kwa kila mmoja uwezo wake wa kulipia hiyo ada. isiwe kwa pamoja wazazi tunatofautiana mno na wengine ni watoto wenyewe wanajilipia. wakimaliza watafanya vibarua watakomboa vyeti vyao
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mpambe mpya wa rais

    Umemshauri vizuri sana ajifanye kumsogelea
  8. F

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba ni "Bwana Kero" tokea zamani

    Huyu mzee ni kiboko! ni tunu ya taaifa tumheshimu tusimzihaki ni hazina ya fikra tumtumie tusije kujuta
  9. F

    JamiiForums Tanzania Bunge Maalum lije na rasimu 2, ya wachache (UKAWA) na ya walio wengi (CCM), wananchi wapige kura

    Nakubaliana nawe siyo tu wana mawazo mazuri lakina pia wana HOJA zenye mashiko
  10. F

    JamiiForums Tanzania CCM waeneza propaganda Dodoma kumtuhumu Warioba kuvuruga bunge leo jioni

    La!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ndugai si ndiye aliyesema Hapatatosha mle ndani na kwamba watagawana mbao za mle ndani akajibiwa na muungwa mmoja kuwa mbao zile si zao wenyewe ni Watanzania walipa kodi ambao wapo nje haya hayakumuingia tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Hatimaye sayansi yagonga mwamba...!

    Waganga nao wanatumia sayansi pia
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

    Nina matumaini kidogo naye ingawe ndiye bora kuliko wote na hakuna mubadala tatizo ni kuwa hatujui na sijui mahafidhina watamuahidi nini yaelekea kila mtu alipo kwanza ni kwa maslahi yake
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mtei aonya fukuza fukuza CHADEMA - Aonya kuachana na Utamaduni huo mpya

    Mzee amewaza nini? AMECHELEWA SANA. Maana yeye ndiye aliyependekeza wafukuzwe wote wanahitalifiana na Viongozi aliowaachia chama chake
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ni mwanasiasa yupi hoja zake huwa zina manufaa kwa watanzania?

    Zito Z. Kabwe
  15. F

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    Natamani wangekuwa na ufahamu WAKAYAFAHAMU haya uliyoyasema
Back
Top Bottom