Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

Mwisho ndo sehemu nzuri ya kufanya tathimini,kwa jinsi CCM inavyotapatapa bado kunaweza kukawepo presha nyingi za kuathiri uongozi wa viwango wa 6 ...tusubiri tuone
 
kwakifupi tuseme tu ya kwamba sasa ameingia ktk kambi ya ushindi urais oct 29 2015,ama yeye,au Magufuli au Mwakyembe. mtandao wao ni wa ushindi sasa,sasa kitakachobakia nikupata baraka za Mh.Rais kikwete na marais wastaafu.pia nawashauri wafuatao baadhi ingawa wapo wengi lkn wawemo ktk mtandao wa sitta maana watanzania wengi tumekubali na tumeridhishwa na utumishi wao kwa nchi yetu.nao ni:
Mh.William Lukuvi,Agrey Mwanri,Ana Tibaijuka,Kagasheki,Bernad Membe,Shamsi vuai nahodha,pandu ameir kificho,kinana,Nape,Meya jery slaa,na wazalendo wengineo.

naïve, myopic, viewpoint
 
Huo ni mtego. Amepewa kitanzi ajimalize mwenyewe endapo atakuwa na nia ya kugombea Urais.Awe upande wa Wananchi,chama chake kimhukumu au awe upande wa chama,ahukumiwe na wananchi.He has to box- cleaver.
 
Speech ya Sitta, kama ulimsikiliza between the lines, ilijikita katika maeneo makuu matatu:-

(i) U-CCM: Aliwashukuru wana-CCM wenzie kwa mchakato mzima na amba hatimaye ulifanikisha "kulipitisha" jina lake. Alimshukuru pia Chenge kwa kukubali "kujitoa" na kuelezea historia fupi jinsi yeye (Sitta) alivyohusika hadi Chenge kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali enzi hizo.

(ii) Uzoefu: "Alijisifia" kutokana na uzoefu wake pamoja na "kufahamika" miongoni mwa wajumbe (wajumbe wa Bunge la JMT) ambako kulipelekea kutwaa nafasi husika.

(iii) Udini: "Alijisifia" jinsi alivyo mcha Mungu na jinsi watu wa dini/dhehebu lake walivyochangia kufanikiwa kuikwaa nafasi ya Uenyekiti. Alimtaja hadi mchungaji wa Kanisani kwake.

In short, alieleza mambo kadhaa ambayo hayakustahili au yalikuwa necessary katika hadhira ile tena ukizingatia alikuwa hewani; well may be kwa sababu ya "furaha" aliyokuwa nayo. Kwa mtazamo wangu, speech ya Mh. Rungwe ilikuwa nzuri zaidi na ya umoja wa kitaifa kuliko ya Mh. Sitta.

kweli wewe ni mdudu, yaan mtu akisema anamcha Mungu wewe ndo unamwita mdini, mbona kuna wajumbe wengi ambao si wa dini ama dhehebu la sita walimchagua, na alivyoshinda wote walimshangilia. Nyinyi uchwao ni kulalamika tu, hashim rungwe kitu gan aliongea cha maana zaidi ya komedi tu.
 
Sitta ndiyo chance ya kujijenga ki uprezidaa hapo! Ukifanya kama maneno yako hata sisi wapinzani utatupa wakati mgumu ktk kinyang'anyiro cha 2015 kama ccmagamba watakupitisha amma ukigombea na kile chama chako cha kijamii a.k.a CCJ.
Illa bado gamba ni gamba TUSUBIRI TUJIONEE.

Kama Sikosei Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, hataruhusiwa kisheria kuja kugombea nafasi ya urais mara baada ya katiba mpya kupita. Naomba kusahihishwa kama sio sawa
 
Nina matumaini kidogo naye ingawe ndiye bora kuliko wote na hakuna mubadala tatizo ni kuwa hatujui na sijui mahafidhina watamuahidi nini yaelekea kila mtu alipo kwanza ni kwa maslahi yake
 
Imani yangu kwa gamba (ccm) yoyote ni ndogo sana ila kwa sasa nauachia wakati uamue..!
 
hope he will not let this valid opportunity end in Vail, He is aware of all the challenges he has faced and that the people's power might have brought him back to this position. This is purely based on his reputation not as the party but as an individual the, He has to treasure this chance by performing even better. Wish him best of luck to his new career!
 
Back
Top Bottom