Recent content by Fem2

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidie Kumchallenge mpenzi wangu tuna mwaka kwenye mahusiano yetu, ataje mwanamke anayempenda

    Umetoa kwa fahari media kule tunga zako acha kucopy😂😂😂
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni majina mawili pacha ya kikristo la mtoto wa kiume na kike lianze na herufi "J" Liishie na "N"

    Jayden na Jolin. Jerrison na Joylin
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao,nguzo,mirunda na fito zilizowekwa dawa(CCA PRESSSURE TREATED TIMBER)

    Cubic meter 1 420000 treated. Mazungumzo yapo
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao,nguzo,mirunda na fito zilizowekwa dawa(CCA PRESSSURE TREATED TIMBER)

    Tuna gari za ofis boss delivery mpaka ulipo kwa makubaliano.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao,nguzo,mirunda na fito zilizowekwa dawa(CCA PRESSSURE TREATED TIMBER)

    Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza mbao,nguzo,fito na mirunda vyote vimewekwa dawa kwa pressure kwenye mtambo kwa ajili ya kuzuia wadudu waharibifu kama mchwa.Pia huifanya mbao/nguzo/fito/mrunda idumu muda mrefu. Napatikana Mafinga-Iringa. 0755885888. Karibuni sana tufanye...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupige magoti kwa Mungu kumuombea Prof. Janabi ashinde Ukurugenzi WHO kanda ya Afrika

    Kwani mafekeche yenu yameshindikana? Tuna mengi ya kumuomba Mungu hilo hangaikeni nalo wenyewe.
  7. F

    JamiiForums Tanzania The 5 Am club

    Kumbe kesho mapema nipo hapa nipate hizo mb
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa mwenye utayari wakuitwa mke

    Kila lakheri
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kila lakheri nanii
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Jumamosi kikundi moro mjini Jumapili sabasaba moro mjini. Jumatano dakawa Ijumaa Dumila Jumanne Zombo
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Nimekuja niamke nayo kumbe bila bila[emoji3][emoji3] Ngoja niendelee kuuchapa single miee huku wenzangu wanaamka na cha asubuhi[emoji2][emoji2] Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  12. F

    JamiiForums Tanzania Bongo kwasasa hakuna Mwanamke maarufu mwenye shepu kama Munalove

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Na kesho ndo ijumaa. Waharibifu chezeni mbali na uzi Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aisee Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom