Recent content by Felixtz

  1. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    umenielewa kwa asilimia buku 1000%. fanya hilo zoezi kila mara na matokeo utayaona. kumbuka, akili inajifunza kutokana na marudio (repetitions). kitu cha muhimu, tawala akili yako usiruhusu akili yako ikutawale
  2. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    ni kweli sio sayansi ila inaweza kuelezwa tu kwa mtazamo wa kisayansi
  3. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    frequency kwenye saikolojia ni "totallity of the psyche" (ngumu kumeza kidogo, ila usiliteme), mtu akiwa na huzuni kwa mfano, huyu mtu yupo kwenye specific condition, anakuwa kama kituo cha mawasiliano, sasa wewe unatakiwa kuwa katika hali kama hiyo ( mara nyingi hii hutokea automatically) kwa...
  4. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    body language ni matokea na matokea yanaweza kutafsiriwa kwa namna tofauti tofauti, ndio maana kwenye body language unaweza kusoma akili ya mtu labda kwa asilimia 2 (kwa uwiano), ila ili uwe na uhakika na kile anchowaza mtu ni lazima uende kwenye "root cause" na kuweza kutambua uwanja mzima wa...
  5. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    kwa uelew a wangu nadhani suala la kusoma akili ya mtu (mind reading) linategemea kitu kinachoitwa "mindset". akili ya mtu hufanya kazi kutokana na frequency na frequency hubeba taarifa, sasa hizi taarifa (mawazo) hayazalishwi kwenye akili ila akili inapokea hizo taarifa kutokana na "tuning" ya...
  6. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Je, binadamu ni chakula cha anayeitwa Mungu?

    ni kweli kabisa, ndio maana mungu anahitaji sana kuabudiwa. ukielewa vizuri neno "kuabudu" na ukaelewa ishu nzima inayohusu maswala ya nishati (energy) utakuja kuelewa kuwa sio wanadamu tu ila kiumbe chochote ni chakula cha mungu. mtu anapoabudu, nishati inatoka kwake na inaelekea kwa...
  7. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Nini Chanzo cha mawazo?

    mawazo ni kama mawingu, na anga ni kama akili, sasa mtu hawezi ku "tune" au kuchagua mawazo ila mawazo yanapita kwenye uwanja wa akili yake, kinachofanya tuning ni akili ambayo ni kama radio reciever
  8. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Nini Chanzo cha mawazo?

    kwa sababu mwanadamu ni mtazamaji(observer) na sio anaeona
  9. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Nini Chanzo cha mawazo?

    hili swali huwezi kulijibu kama huelewi saikolojia, kwanza mwanadamu hana uwezo wa kuwaza, mwanadamu anapokea mawazo kwa mfumo wa masafa(frequency) hayo masafa yanatakiwa yafanyiwe kitu kinachoitwa "encoding" yaani kuyabadilisha yawe na maana kwa sababu bila kufanya hivo ni ngumu sana kuona umbo...
  10. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Elimu ya siri / Hidden knowledge

    hii elimu imefichwa kwa sababu tofauti tofauti..., ila mtoa mada unatakiwa uwe makini katika kutoa elimu hii kiholela. kwa mtu ambae amekua na personal experience kuhusiana na haya mambo hawezi kuyazungumza hadharani, sio kwa sababu ni mbaya ila ni kwa sababu ni hatari kwa mtu ambaye hayupo...
  11. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

    hakuna illusionary (udanganyifu), kila kitu ni halisi katika mtazamo wa kitu chenyewe. hakuna anaetuchezesha ila ni ufahamu wenyewe unaojichezesha. kwa macho ya kawaida inaonekana kua sisi tupo, ila kiuhalisia hatupo na hata ulimwengu wenyewe haupo ila ni ufahamu unaojionyesha katika miili...
  12. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Nguo za dukani (readymade)

    Habali zenu wanajf, ni matumaini yangu mpo salama kwa kudra zake Mwenyez Mungu, nami ni mzima wa afya Alhamdullilahi. Poleni na majukumu ya kila siku katika kutafuta riziki. Mimi nipo Mwanza karibu na stendi ya Buzuruga, nina mtaji wa milioni 2.5, sasa wazo langu la biashara ilikua ni kuuza...
  13. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Casting tv programme to a Computer

    Kwa upande wa nyuma wa nyaya hzo tatu zimeandikwa tu neno out
  14. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Casting tv programme to a Computer

    Hizo nyaya Z Nyaya hizo za hizo langi zipo mara mbili kwa nyuma pamoja na upande wa TV, sasa niziunganishe vipi mkuu
  15. Felixtz

    JamiiForums Tanzania Casting tv programme to a Computer

    Ni Digital TV ina support HDMI, USB, AV, DTB
Back
Top Bottom